Vijana waliofanikiwa maisha

Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.

vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Nyumba kapanga kwa mchaga!
 
Kipi ulikiona kwao hadi ukafikiri hivo?
Ni aina flani ya vijana ambao wanaona maisha wameyapatia,yaani huwaambii kitu hata mkiwa mnaongea utasikia kwanza nakaa sinza utaniambia nini? wakati yupo op kabisa sema tu anaendesha crown na gari za aina hizo na ka iphone kwanzia x mpaka macho matatu baasi
 
Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.

vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Mlete Mdhungu
 
Waliofanikiwa anaishije sinza? We utakua na hali mbaya sana
 
Kwani ukisema maisha wameyapatia kwa juhudi zao dhambi?
Mungu alisema tusiibe wala tusidhulumu lakini vijana wanafanya yote ili waishi vizuri, hizo ni juhudi zao

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Umesahau iPhone toleo jioya kwa list 😂😂
#acha watuvimbie wenye life ya Tecno alajii
#Ukiumia jua wamekuwin😂
 
Umesahau iPhone toleo jioya kwa list 😂😂
#acha watuvimbie wenye life ya Tecno alajii
#Ukiumia jua wamekuwin😂
mkuu acha basi? nasikia wamejiandaa na pre order ya iphone 14 ili waendelee kutunyoosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…