made in tanzania_
Senior Member
- Mar 4, 2025
- 114
- 147
Tanzania mpaka sahivi asilimia 80 ni informal sector mean mpaka sahivi tunawatu wengi waliojiajiri lakin tatizo la ajira bado ni kubwa ukweli ni kwamba wengi waliojiajiri wanabangaiza wakipata nafasi ya kuajiriwa wanaacha hizo kazi walizojiajiri
Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu wachache hata vijana wote wakienda kusoma veta ni wachache watakaojiajiri hio ndo nature
Kujiajiri is not for everyone ni kwa watu wachache
Kuna vijana wengi tu wamemaliza VETA na hawan kazi serikali itawasaidiaje hili ni swali kauliza kijana wa VETA ambaye hana kazi
Viongozi wa Tanzania waache kutumia shortcut kwenye mambo ambayo yanahitaji suluhisho la kudumu kauli wa watu wa degree waende kusoma VETA ni nzuri ila ni wazi aliyeitoa hajafikiria mbali
VETA itakuwa na maana sana kama kutakua na viwanda vingi sababu viwandani kunaweza ajira watu wengi waliohitimu VETA au kiingereza wanaita blue color job tofauti na hapo ni uongo
Ufundi ni kipawa sio kila mtu Ana kipawa cha kuwa fundi kama Huna hakuna atakayekuletea kazi yake sababu utakua unafanya kwa ubora mdogo na itakua mbaya/chafu kumbuka dunia ya Leo ni ya ushindani
Nauhakika watu watasoma VETA wengi na viongozi wa serikali watakuja na kauli nyingine tena ukweli ni kwamba hatuna viongozi wenye maono