Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Huu mkanganyiko wa waziri mkuu inazidi kutuchanganya walisoma VETA tukonao mtaani uku na hawana kazi vp wenye degree wakija nao wanaongeza kinini😂😂Kuna vijana wengi tu wamemaliza VETA na hawan kazi serikali itawasaidiaje hili ni swali kauliza kijana wa VETA ambaye hana kazi
Viongozi wa Tanzania waache kutumia shortcut kwenye mambo ambayo yanahitaji suluhisho la kudumu kauli wa watu wa degree waende kusoma VETA ni nuri ila ni wazi aliyeitoa hajafikiria mbali
VETA itakuwa na maana sana kama kutakua na viwanda vingi sababu viwandani kunaweza ajira watu wengi waliohitimu VETA au kiingereza wanaita blue color job tofauti na hapo ni uongo
Ufundi ni kipawa sio kila mtu Ana kipawa akapata cha kuwa fundi
Nauhakika watu watasoma VETA wengi na viongozi wa serikali watakuja na kauli nyingine tena ukweli ni kwamba hatuna viongozi wenye maono