Vijana waliomaliza VETA na hawana kazi serikali inawasaidiaje

Huu mkanganyiko wa waziri mkuu inazidi kutuchanganya walisoma VETA tukonao mtaani uku na hawana kazi vp wenye degree wakija nao wanaongeza kinini😂😂
 
Wakasomee digrii.
Mzunguko uendelee
 
acha upotoshaji gentleman,
ukimaliza VETA ni kwamba moja kwa moja unajiajiri bila kubabaika kwasabb tayari una ujuzi 🐒
 
Mtu wa engineering, nasemea ndaki zote hapo, amalize 4 - 5 yrs ya degree afu arudi tena VETA kuwa fundi mchundo.

Inachosha kabisaaa.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa Veta hawanaga mambo ya kudai haki zao, wakimaliza kusoma wanaingia mtaani kimya kimya na kuhusu kazi wengi hawachagui

Hata kama ni Black deals wanapush kikubwa maisha yaende .

Nadhani Mazingira ya Veta yanawafanya waone mfumo hauwajali .

Kuhusu serikali kuwasaidia Viwanda sidhani kama hili litawezekana ladha mfumo ukibadilika
 
Usome halafu serikali ikutafutie kazi huo si ni ujuha? Wapi mhitimu wa VETA anasoma kozi na kukosa kazi? pumbavu sana, mna mentality ya kipuuzi kwamba ukisoma ni lazima uajiriwe. someni muwe na uwezo wa kujiajiri, kuajiriwa ni second option tu kama nafasi zipo
 
Waliomaliza veta hawana kazi waende vyuo vikuu.
 
Daktari na muuguzi wakajiajiri au sio
 
Ulikuwa hujui?
Mambo ya magari huwa tunaanziaga garage za vichochoroni mzee , pale VETA unaenda kufanya trade test na kuchuchukua cheti.
Kuanzia hapo VETA from scratch ni uongo
 
Ulikuwa hujui?
Mambo ya magari huwa tunaanziaga garage za vichochoroni mzee , pale VETA unaenda kufanya trade test na kuchuchukua cheti.
Kuanzia hapo VETA from scratch ni uongo
Mwambie kassim majaliwa
 
Hivi ukiacha mtoto wa kitongoji na m/kiti, je Kuna watoto wa viongozi wa serikali umesoma nao kwenye shule zetu za kayumba? Pia hua inahitajika kwamba kiongozi anapotoa maelekezo kama hayo inatakiwa watuambie kwamba hata wao watoto wao wamewapereka veta ili tuongee lugha moja
 
We ni mjinga mbona kuna watu kibao wameajiriwa na serikali basi kwa akili yako serikali ifue ajira zote kila mtu

Kila mtu akijiajiri nani atakuwa mfanyakazi
Sio kila mtu atajiajiri kujiajiri ni kwa watu wachache hata vijana wote wakienda kusoma veta ni wachache watakaojiajiri ndo wengi hio ndo nature
 
Sasa kama mwenye degree ameambiwa aende veta akasome ajiajiri itakuwa huyo wa veta anaetaka serikali imsaidie hii chi ngumu sana tutafika tumechoka sana
 
ndio, inawezekana kwa kuanzisha vituo vyao vya afya na hata hospitali binafsi. Kwani lengo kusoma ni kuajiriwa tu? Unasoma ukiwa na malengo ya kuajiriwa huo ni ujinga na ni kutaka umasikini wa kujitakia
Unahisi kufungua na kumiliki zahanati au kituo Cha Afya ni vyepesi kama wewe unavyomiliki matako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…