Vijana waliotoka JKT walifundishwa kuhusu kutoshiriki maandamano? Baadhi ya vijana wanatishia wengine

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde amani.

Vijana hao walikuwa kambi ya Kibiti, nikawahoji kwa nini kulinda amani, wakanijibu kuwa wamefundishwa kulinda amani, nikawaza inamaana CCM wamepenyeza ajenda zao za kulnda amani kwenye makambi kwa manufaa yao, mbona hawajawafundisha kuhusu kupigania haki?

Mie nikawauliza, Mwizi akikuibia pesa zako za Boom utakazopata ukiwa chuo, ukajua kabisa zimeibwa na fulani utafanya nini? Wakajibu mbona patachimbika mpaka anirudishie, nikawauliza kwa nni wakajibu ni zangu, ni haki yangu kuzipambania zirudi.

Nikawaambia kwa nini usitulie kulinda amani, wakasema hapo amani hakuna, nikawaambia hivyo ili amani ipatikane ni lazima haki iwepo, achane ujinga wa kuaminishwa mlinde amani kwa maslahi ya watu wanaowaibia rasilimali za nchi yenu, wanaowatendea mambo ya ukatili, nikawapa mifano mingi inayotendwa ambayo inakiuka haki za binadamu na kukiuka katiba.

Nikawaza kumbe JKT ni mkakakati maaum wa kuwafanya vijana wajinga wasioweza kudai na kupigania haki wabaki kwenye kichaka cha ujinga cha kulinda amani.

Nimeona na video kadhaa za viajana wanatishia wengine kuwa wakaindamana watakutana nao wao kama majesh ya akaiba, kwa nini CCM kupitia serikali mnawafanya vijana na watoto hivi? Kumbe ndio maana mmeiita Operation linda amani ee kumbe mna ajenda yenu, Sisi wazazi tutaufuta huo ujinga mliowaweke aviajana wetu, hatutakubali.

​
 
View attachment 3672554
Wape miezi mitatu mtaani. Hatokumbuka hizo kauli
 
Wamekubali kumezeshwa ujinga?Waingie mitaàni,wapigike hadi wapauke ndiyo watajifunza kitu.
 
Sasa Kama hicho kisichana cha mwisho kinaweza kudeal perpendicularly hata na housegirl wangu?
Si atakipasua na kukimwaga maini?
 
Back
Top Bottom