Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

Hayana mwongozo
Nyie mnaongelea mapungufu ya Hamisa tu je mnajua yale ya Azizi?
What if wanavumiliana na wamekubaliana?
Bado haiondoi ukweli dogo kachemsha.Hata mamake itakuwa amemaindi ila hana cha kufanya kwa kuwa dogo ndo anahela ukoo mzima.

🚨🚨Women are very selfish.Hamisa mobeto mwenyewe hawezi kukubali mwanae wa kiume aoe singo maza aache vigori vyote akaparamie gumegume.
 
Tulia dada yetu alete chakula nyumbani...wewe umeshindwa kuleta hata ng'ombe watano alafu unamkandia hamisa?

Acha mtoto wetu wa kike alete chakula kwa wazee maana nyinyi vijana wa nyumbani mmeshindwa kuleta hata mbuzi
Kiazi mbatata wewe mwanaharamu.Nyie ndo dada zenu wanaenda kuliwa mix by yas ili kuwalisha punda kama wewe na wewe unaona ni poa.
 
Endapo kama ameamua yeye mwenyewe kwa hiyari yake bila shinikizo basi hakuna tatizo kuhusu suala hili.
Isipokuwa ni kweli kwamba kiasi Cha Mahari alicholipa ni kikubwa Sana kupita kiasi. Hii sasa imekuwa kama biashara ya kuuza na kununua binadamu
Dogo ameibiwa na matapeli wa yanga. Eng. Heris na gisemu wanamoto🔥🔥🔥 wao mkali unawasubiri😄😄
 
Back
Top Bottom