Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

Ukiacha wivu utafika mbali
 
Vipi akibadilisha uraia abaki hapa bongo?!
 
Vijana wengi wa jf mko mbioni kuolewa mke wa pili au wa tatu wa Azizi Ki, kwanini mnamuonea wivu Hamisa binti mrembo??

Ile pisi ikija kwako tu unauza figo wewe, kataa ndoa una kibunda sio kataa ndoa choka mbaya au unajitafuta, hapo unakua sio kataa ndoa ni dhiki tu, ukizipata utatoa mahari kubwa zaidi ya shemeji yenu mbukinabe.
 
Ule mdomo anaouachiaga ule ile nishida mama ake Yuko vizuri sana ila mtoto sasa
 
Kwanini asiende popote
 
Uchawi huu 🤭🤭
 
SINGO MAZA MNATETEANA SIO.NYIE MALAYA NI WA KUPIGA NA KUPITA!!!

TUNASHANGAA MDOGO WETU KAJENGA KIBANDA KWA KIBIBI KIMECHAPWA MPAKA NA DOMO🤔
Sasa mbona umejaa kifua kuliko muolewaji mkuu tuliza basi hizo kende zako 🤣🤣🤣🤣acha apate majuto yake kama ulivyopata yako 😉😉
 
Tulia wewe! Ulitaka uolewe wewe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…