Njoo nikuwowe mremboNasubiri kuolewa mkuu. Ipo siku yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikuwowe mremboNasubiri kuolewa mkuu. Ipo siku yangu
Subiri kwanza nifaidi ujanaNjoo nikuwowe mrembo
ça va bien🤝Komasavaa
Hapo nmekusoma mkuu.Kaka unachotakiwa kufahamu mpaka binti amekuwa singo maza.Tena utofautishe mjane mwenye watoto hawa wanaexceptional.Mimi nazungumzia hawa malaya wenye tamaa waliopata mimba kwa tamaa za maisha ya juu na bia za ofa.Hawa ambao wamezaa na waume za watu.
Hawa ni NUKSI tuwapige vita wanatuharibia jamii.Mtaa wenu ukiwa unasingo maza tegemea na vibinti vitatu wiwili vitakuwa singo maza in a long run.Hawa viumbe wanaishi kwa kuigana so tabia yoyote mbaya akiwa nayo mkubwa wao basi ujue kuna madogo wataiga.
Kuna familia zinaongoza ukoo mzima wanawake wanazaa hovyohvyo bila ndoa and sad enough wanazaa na wahuniwahuni na wengine wameishia kupata magonjwa ya kudumu.
📌📌📌SINGO MAZA NI LAANA.NA NDO CHANZO CHA MMOMONYOKO WA MAADILI NA JAMII KWA UJUMLA.
Wazee wenye binti zao nao watapandisha mdau ya mahari kama nawaona vile.Endapo kama ameamua yeye mwenyewe kwa hiyari yake bila shinikizo basi hakuna tatizo kuhusu suala hili.
Isipokuwa ni kweli kwamba kiasi Cha Mahari alicholipa ni kikubwa Sana kupita kiasi. Hii sasa imekuwa kama biashara ya kuuza na kununua binadamu
Hamna shida wee ukimaliza kula ujana mie nipoSubiri kwanza nifaidi ujana
Braza ndio goli mbili viwanja tofauti!? Kweli kabisa?Hayana mwongozo
Nyie mnaongelea mapungufu ya Hamisa tu je mnajua yale ya Azizi?
What if wanavumiliana na wamekubaliana?
Punguzeni makasiriko kwenye maisha ya watu
Utoto unakusumbua kijana,bando la bure linakupa tabuSINGO MAZA LEO MASIMO YENU YAMEMWAGIWA UPUPU😂😂😂😂
LEO LAZIMA MSEME YOTE🤝
HUKULAZIMISHWA KUWA SINGO MAZA.TAMAA ZAKO ZA OFA ZA BIA NA NYAMA CHOMA NDO ZIMEKUFIKISHA HAPO.PAMBANA NA HALI YAKO MBAYA YA KIUCHUMI👋Utoto unakusumbua kijana,bando la bure linakupa tabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahVijana wengi wa jf mko mbioni kuolewa mke wa pili au wa tatu wa Azizi Ki, kwanini mnamuonea wivu Hamisa binti mrembo??
Ile pisi ikija kwako tu unauza figo wewe, kataa ndoa una kibunda sio kataa ndoa choka mbaya au unajitafuta, hapo unakua sio kataa ndoa ni dhiki tu, ukizipata utatoa mahari kubwa zaidi ya shemeji yenu mbukinabe.
He is not womans choice 😳🙈Dogo ameshindwa kuswallow his ego and beat the fact that he's not womans choice.
What if demu kajilipia. Mademu wa kibongo wapo desperate sana na they are fake, wanashindana sana na kuoneshana.Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣
Huyu dogo mpira ukianza kumtupa atachukua nyundo abonde kende zake😄😄😄maana amefanya kituko cha dunia.
📌📌📌Vijana mkiwa mnajitafuta msisahau kula maisha ili kupata experience.Hii itawasaidia kujiepusha na fedheha ndogondogo.Hivi mwanaume unashindwa nini kujiuliza iweje wenzako wamepiga na kusepa alafu wewe ndo unaweka kituo??!!!
Kwa niaba ya CHAMA LA WANA "KATAA NDOA".TUNALAANI VIKALI TUKIO HILO NA KUKEMEA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA MASINGO MAZA KULINDA HESHIMA NA UTU WAO KAMA VIJANA WADOGO.
Diamond hayupo kwenye Child support na Hamisa. He declared officially kuwa mtoto sio wake . Alimchukua mtoto na kumpiga DNA test SA .hamisa amezaa na wanaume wanaweza kuprovide. wenzie na Ki akina mondi wameishia kwenye child support. Huyu dogo atapigwa mgawanyo wa mali na ataondoka Tz na fuko la shangazi kaja pekee.
Aziz K hana shida yoyote he is a gentleman and handsome . Shida yenu wabongo hamna exposure na mmekula konokono sana utotoni kwenu ndio maan akili zenu zipo stagnantIla wanawake nao wana roho ngumu
Hamisa ÷Aziz ki, ok fine kwenye pesa mwanamke anaweza kufanya chochote kile.