Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

Hapo nmekusoma mkuu.
 
Endapo kama ameamua yeye mwenyewe kwa hiyari yake bila shinikizo basi hakuna tatizo kuhusu suala hili.
Isipokuwa ni kweli kwamba kiasi Cha Mahari alicholipa ni kikubwa Sana kupita kiasi. Hii sasa imekuwa kama biashara ya kuuza na kununua binadamu
Wazee wenye binti zao nao watapandisha mdau ya mahari kama nawaona vile.
 
Utoto unakusumbua kijana,bando la bure linakupa tabu
HUKULAZIMISHWA KUWA SINGO MAZA.TAMAA ZAKO ZA OFA ZA BIA NA NYAMA CHOMA NDO ZIMEKUFIKISHA HAPO.PAMBANA NA HALI YAKO MBAYA YA KIUCHUMI👋
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Nyie watoto mnatuumiza wazazi wenu ila hamjui tu,mnasema mnafata mioyo yenu ila jua tunaumia sana.
Imagine naletewa mkamwana mwenye watoto wawili,eeh Mungu tutie nguvu sisi wazazi.
 
What if demu kajilipia. Mademu wa kibongo wapo desperate sana na they are fake, wanashindana sana na kuoneshana.

90% of these things za social media are fake , don’t be surprised siku Aziz Ki akisema sikutoa hela kununua zile ngombe. Nina instincts kilichotokea sio gharama za Azizi ….. he is not even comfortable na the whole saga….. you can see it .

Nawajua wabokinabe…… most of them are smart and optimistic….west Africa wengi mi wajanja na matapeli….. Aziz hawez kuwa loser…. Na hata pale Yanga ndio anaelipwa parefu ….. he had a bargain power more than Mayele
 
hamisa amezaa na wanaume wanaweza kuprovide. wenzie na Ki akina mondi wameishia kwenye child support. Huyu dogo atapigwa mgawanyo wa mali na ataondoka Tz na fuko la shangazi kaja pekee.
Diamond hayupo kwenye Child support na Hamisa. He declared officially kuwa mtoto sio wake . Alimchukua mtoto na kumpiga DNA test SA .

Dada yupo kwenye mission ya kuzaa na watu wenye hela au watu maarufu ili asife masikini….viungo vya siri vimekua mtaji rasmi na .ndio maan alikimbilia mahakamani dhidi ya Dai, mtoto wa mjini akafungua mafile na kubaini kumbe hata mtoto anaetakiwa kumpa child support sio wake ….. alichofanya Dai ni kupeleka DNA test mahakamani. Hamisa akaambiwa lete proof kuwa mtoto ni wa dai….. kesi ikawa imeisha akaonekana TAPELI .

Imagine unaoa mwanamke ambae anawatoto hadi wanakataliwa. Hii haina mana asiolewe bali kama kijana una future ya kuwa na familia bora…. I discourage. Kuna women or men are good for fuqing only ; and others are good for making a family …. As a man …. Or woman You should know how to differentiate

Vijana tuwe serious when it comes about family.family unayoitengeneza ndio kimbilio lako. Huwezi kuwa na stable family kwa mwanamke au mwanaume mwenye watoto 3 ni kutafuta misunderstanding tu ; na hata ukiwa na mali ni tatizo. Si mnaona mambo ya Mengi…… alifanya kosa la Kiutendaji hadi leo limei cost familia

Hili ni kosa la kiutendaji. But I believe kuna kitu nyuma ya Aziz Ki hakipo sawa.
 
Imetosha sasa kuwa na adabu na shemeji yako.

Mshahara wake unabaki bongo kukuza uchumi.
 
Ila wanawake nao wana roho ngumu
Hamisa ÷Aziz ki, ok fine kwenye pesa mwanamke anaweza kufanya chochote kile.
Aziz K hana shida yoyote he is a gentleman and handsome . Shida yenu wabongo hamna exposure na mmekula konokono sana utotoni kwenu ndio maan akili zenu zipo stagnant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…