OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Unaona sasa. Kumbe ushahidi upo kwamba huyu dada ni tapeliDiamond hayupo kwenye Child support na Hamisa. He declared officially kuwa mtoto sio wake . Alimchukua mtoto na kumpiga DNA test SA .
sipendi Jina lako 🤣Tuwape muda. Ila vijana mjiweke vizuri kwenye mambo ya ndumba... nendeni hata huko Ziwa Tanganyika mkafanyiwe tambiko. Mkikaa kizembe ndo ishu kama za Aziz Ki zinatokea. Kina dada aina ya Hamisa wako vizuri kwenye mambo ya mila na utamaduni.
Ni wivu tu, mbukinabe anakojolea pazuri.Nadhan wadau tupo kwa Kii na sio mobeto. Coz ujue inatia huruma kijana akipotelea mahusianini kizembe. Yaan amesafiri toka burkanaa afu end of tha dei arudi na kengele tupu.
Pia ujue jambo liko kwenye public na humu Jamiini ni constituent ya public, sio suala wivu.
Uko sahihi.sipendi Jina lako 🤣
Umeongea ukweli tena demu asiye na mchango wowote katika maisha yake na ndiyo maana mama yake dogo na nduguze wamekuja juu. Kwa kweli kwa hali ya kawaida, hakuna mwanamme mwenye akili timamu akaoa mwanamke aliyezaa na wanaume tofauti tofauti na kumfanya mke wake. Huyu dogo atakuwa kalishwa madudu tu, ni jambo la kushangaza sana na la haibu kwa familia na ndiyo maana mama yake mzazi amekuja juu. Nani anataka kulea watoto wa wanaume wengine na isitoshe mwanamke mwenyewe Hamisa, changu anayefahamika. Serikali ya Tanzania, tafahali saidieni wazazi wa Aziz Ki kwa kumkamata kijana wao na kumpima akili.Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣
Huyu dogo mpira ukianza kumtupa atachukua nyundo abonde kende zake😄😄😄maana amefanya kituko cha dunia.
📌📌📌Vijana mkiwa mnajitafuta msisahau kula maisha ili kupata experience.Hii itawasaidia kujiepusha na fedheha ndogondogo.Hivi mwanaume unashindwa nini kujiuliza iweje wenzako wamepiga na kusepa alafu wewe ndo unaweka kituo??!!!
Kwa niaba ya CHAMA LA WANA "KATAA NDOA".TUNALAANI VIKALI TUKIO HILO NA KUKEMEA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA MASINGO MAZA KULINDA HESHIMA NA UTU WAO KAMA VIJANA WADOGO.
Weee si mwanafunzi wa chuo VETA Mbeya, tangu lini una mtoto? Humu watu waongo🤣🏃♂️Tumekuja na tunatamba mwenzetu kuolewa.
Kwamba unataka kusema nn et, tusidanganyane yule mama kaangalia digits zinazosoma kwenye makaratasi basi nothing more, nothingless.Aziz K hana shida yoyote he is a gentleman and handsome . Shida yenu wabongo hamna exposure na mmekula konokono sana utotoni kwenu ndio maan akili zenu zipo stagnant
Aziz k atabaki hapa hapa bongo kama wa Congo wanavyo bakiHàta kama jamaa ana wivu, ila ukweli huyu dogo Ki kaingia Chaka.
Kwanza mpira una muda mchache wa kucheza, msimu huu anauzwa na hamisa haendi kokote.
Hii ni bahati yàke maana mahari too 100m+, bado atakazochuna. Ki ataondoka na mswala tuu amini mimi.
Huyo siyo mkongo na hawezi kubaki hapa na kwao ataenda na shangazi kaja tuu. Ukweli engineer pia kapiga mobeto.Aziz k atabaki hapa hapa bongo kama wa Congo wanavyo baki
Umaskini. Umaskini ni mbaya sana ndugu yangu.Hili la kufuatilia maisha na maamuzi ya watu kwa povu la makasiriko huwa nyuma yake sijui linaratibiwa na kitu gani🤔