Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

Na alaaniwe auzae ngada,bange na gongo.
 
Watu mnaangalia wanaokufa tu,heri hata ya hao familia zinazika na kuendelea na maisha.

Kuna walemavu wa kudumu wa majeraha ya uti wa mgongo ni zao la hizi ajali, hawawezi kutikisa hata kidole ni wanakuwa tegemezi wa kulisha hata kuchambisha maisha yao yote na ni vijana wadogo kabisa.
 
Hizi boda zupigwe marufuku, serikali iboreshe miundombinu ya mijini Daladala za mwendokasi ziwe za uhakika
 
Kweli inawezekana serekali ina mchango wake ila na bodaboda wabadilike,wafuate sheria

Helmet hawavai, mwendo wa rocket sijui hua wanawaza nini

ila baadhi.
Kwa suala la bodaboda kuilaumu serikali ni makosa, unakuta abiria anapanda bodaboda wakati anaona hana Helmet!!
Wakati mwingine hiyo speed yake abiria wala hatii neno! kuilaumu serikali ni kuikosea.
Boda boda wanatakiwa kubadilika sana, Wao wako wengi kuliko traffic (serikali), wafuate sheria.
 
Hadi polisi wamewashindwa boda, jamaa ni wabishi, traffic light hawasimami, helmet hakuna, ni vurugu tupu na polisi wamebaki kuwaangalia tu.
Hawajawashindwa, tatizo ni siasa, wanasiasa na uchaguzi
 
Mmeshaambiwa sana hamsiki
Mmepewa sana elimu hamsiki
Sahv ni shauri zenu pambaneni
Wenyewe na hali zenu
Wakifa shauri zaoooo

Ova
Kwanza ndo kundi litaloisumbua taifa kwenye magonjwa ya figo maana wanajibebesha visungura
 
Kama wewe mwenyewe hujali maisha yako unafikiri mtu baki atakujali? Kama bodaboda hawajitambui na mtu unaamua kupanda bodaboda ambao hajitambui na wewe hujitambui mtaishia kusaga vichwa kwemye lami. Polisi na serikali watakuja kuzoa viuongo vyenu.
Hatari
 
Serikali inatakiwa ifanye nini mkuu? Izuie vijana kuendesha boda boda?
Itoe Ajira bodaboda wengi Wana degree.
chanzo Cha fujo za bodaboda kugombania vichwa kijiweni mana siku hizi wamekuwa wengi Sana ukizubaa aupati kitu. wanachomoleana Sana na kusababishiana ajali
 
Acha wafe pumbavu zao

Bodaboda wanakera Sana
 
Kwanza kisheria bodaboda haruhusiwi kupita kwenye Highway


Mabodaboda yenyewe ya kichina yanatetemeka kama rocketi za Al shabab. Baada ya miaka 20 madereva wa hivyo vyombo wajiandae magonjwa ya migongo. UTI wa mgongo na viuino.


Baada ya miaka hiyo wajiandae na magonjwa ya kifua kwasababu hawavai Kofia na vest , upepo utawaathiri na madhara yataonekana muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…