Vijana wanaosoma Bachelor of Archaeology ili waje kuwa wakina nani?

Yaani acha tu. Imagine Mtu anaenda soma bachelor of history zama hizi.

Udsm pale kuna bachelor of music, cha kushangaza hapa Tanzania hakuna mwanamziki hata mmoja tunaemjua ambaye amesoma hiyo kozi chuo kikuu.

Vijana wanasoma theory huku soko linataka vitendo.

Graduate wa music chuo kikuu anakimbizwa na harmonize ama dogo paten ambao ni darasa la saba
 
Mkuu

Wapo wanafanya Kazi sehem nyingi tuu,

Makumbusho

Historical sites,

Unfortunately wengine wapo banks, na sehem nyingine.

Kuna Kazi zakufanya hazihitaji specific knowledge but general knowledge tuu
Makumbusho zipo ngapi nchi hii? Vs Idadi ya wahitimu wa BA Archaeology (UDSM na UDOM).
 
Yaani acha tu. Imagine Mtu anaenda soma bachelor of history zama hizi.

Udsm pale kuna bachelor of music, cha kushangaza hapa Tanzania hakuna mwanamziki hata mmoja tunaemjua ambaye amesoma hiyo kozi chuo kikuu.

Vijana wanasoma theory huku soko linataka vitendo.

Graduate wa music chuo kikuu anakimbizwa na harmonize ama dogo paten ambao ni darasa la saba
Kuna mmoja anasoma bachelor of chemistry and biology
 
Wanaweza fanyakazi maeneo kama haya mkuu
  • Utalii wa kihistoria: Tanzania ina miji na maeneo mengi ya kihistoria kama Olduvai Gorge, Kilwa, Bagamoyo n.k. Archaeologists husaidia kuyatunza na kuyaendeleza.
  • Museums and Heritage Sites: Kuna ajira kama wataalamu wa makumbusho, waratibu wa miradi ya urithi wa kitaifa, na watafiti.
  • Academia na Research: Kwa wale wenye mapenzi na utafiti wa historia ya binadamu na mazingira.
  • Miradi ya kimataifa: Mashirika ya UNESCO, World Heritage, n.k. huajiri archaeologists kwa miradi ya utafiti na uhifadhi.
 
Yaani acha tu. Imagine Mtu anaenda soma bachelor of history zama hizi.

Udsm pale kuna bachelor of music, cha kushangaza hapa Tanzania hakuna mwanamziki hata mmoja tunaemjua ambaye amesoma hiyo kozi chuo kikuu.

Vijana wanasoma theory huku soko linataka vitendo.

Graduate wa music chuo kikuu anakimbizwa na harmonize ama dogo paten ambao ni darasa la saba
Chanzo ni walewale wa rangi ya kihani wanahujumu ustawi WA Tanzania,badala waweke kozi za kilimo na ufundi wanaweka koxi za ajabuajabu,halafu vijana wakimaliza
wanakosa pa kwenda
 
Akitokea mwana archaeology kutoka uingereza au marekani akagundua pango sehemu ambayo watu wengi walikuwa hawajui na pango hilo likapewa jina lako kwa heshima ya kutafuta mnaanza kulalama ila unaonaje kama James mahangili akigundua pango hata likipewa jina lake bado ni jina la asili ya tanzania
 
Wakati mwingine ni ili kuwa na maaOndoa hio Emoj
Ondoa hio emoj Inafanya hoja yako ionekane nyepesi.
Watu kama mleta mada inabidi wajue sio kila unachosoma unasomea ili uje kutatulia dhiki zako.. hii desturi ya kusoma ili upate kazi/ufanye kitu cha kukupa hela imekua ni desturi ya ajabu sana huku dunia ya 3 sijui ni shida ama nini...
Watu wangekua wanasoma ili kupata maarifa aisee pasingekua na mrundikano wa wasomi wasiojitambua
 
Wanaweza fanyakazi maeneo kama haya mkuu
  • Utalii wa kihistoria: Tanzania ina miji na maeneo mengi ya kihistoria kama Olduvai Gorge, Kilwa, Bagamoyo n.k. Archaeologists husaidia kuyatunza na kuyaendeleza.
  • Museums and Heritage Sites: Kuna ajira kama wataalamu wa makumbusho, waratibu wa miradi ya urithi wa kitaifa, na watafiti.
  • Academia na Research: Kwa wale wenye mapenzi na utafiti wa historia ya binadamu na mazingira.
  • Miradi ya kimataifa: Mashirika ya UNESCO, World Heritage, n.k. huajiri archaeologists kwa miradi ya utafiti na uhifadhi.
Acknowledge source: Kwa hisani ya AI
 
Yaani acha tu. Imagine Mtu anaenda soma bachelor of history zama hizi.

Udsm pale kuna bachelor of music, cha kushangaza hapa Tanzania hakuna mwanamziki hata mmoja tunaemjua ambaye amesoma hiyo kozi chuo kikuu.

Vijana wanasoma theory huku soko linataka vitendo.

Graduate wa music chuo kikuu anakimbizwa na harmonize ama dogo paten ambao ni darasa la saba
Chemical mwanamuziki nimeona X katunikiwa PhD scotland ila na kapita ud nafkiri ni music
 
Back
Top Bottom