TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Kutunza historia siyo kazi ndogo. Kuna faida kubwa sana katika utunzaji wa historia/kumbukumbu!Bachelor arts in history hii kozi ifutwe tu imagine kazi yake ni lecture na assistant lecture
Kutunza historia siyo kazi ndogo. Kuna faida kubwa sana katika utunzaji wa historia/kumbukumbu!Bachelor arts in history hii kozi ifutwe tu imagine kazi yake ni lecture na assistant lecture
anaweza tafiti kwanini defolters wengi ni wanyaturu, na walipaji wazuri wa mikopo ni wakingaBenki ni sawa na Makumbusho?
Ni sawa, sasa hiyo kozi ili ufanye nini? Bila shaka ndiyo hoja ya mdau.Elimu maana yake ni kukupa maarifa ili baadaye ufanye chochote siyo lazima uajiliwe mkuu
Wahitimu wangapi walisoma hiyo BA Archaeology wamejiajiri au kuajiriwa huko?
Hizo ni digrii za kupoteza muda na kupoteza maisha ya vijana. Ziepukwe kama ukoma.
Ulikua na point nzuri sana lakini umeharibu hapa. Kwani wanao soma Biashara wana pesa kuliko Bakhresa au Wakinga wa Kariakoo?Graduate wa music chuo kikuu anakimbizwa na harmonize ama dogo paten ambao ni darasa la saba
zopo taaluma unaajiriwa kwanza ndio unaenda kusomea, mfano polisi, unaajiriwa kwanza ndio unaenda kusomea polisi, pia vyuo vya kijeshi unaajiriwa kwanza jeshini ndio unaenda mafunzoni, pia zamani zilikuwepo taaluma unaajiriwa ndio unaenda kusoma mfano tax management,Ulikua na point nzuri sana lakini umeharibu hapa. Kwani wanao soma Biashara wana pesa kuliko Bakhresa au Wakinga wa Kariakoo?
Nakubaliana na wewe pamoja na mleta uzi, thank God mama Tibaijuka juzi nae kaziponda baadhi ya KOZI zinazo tolewa na vyuo vikuu vyetu; ukweli tunawajaza mambo mengi vichwani vijana wetu, mambo ambayo wala hayatakuja kuwasaidia.
Bora Hata hii, unaweza kukomplement na EducationKuna mmoja anasoma bachelor of chemistry and biology