Vijana wanaosoma Bachelor of Archaeology ili waje kuwa wakina nani?

Anaesoma bachelor of Music sio kuwa analenga kuwa mwanamziki.

Nyuma ya wimbo maarufu kuna watu zaidi ya mwanamziki.
 
Tanzania bado hatujafika uko

Ufukara bado ni mkubwa sana
 
Unesco unatoka tu udom na ud unajariwa kweli ubongo una mavi
 
Mara ya mwisho uliona au kusikia lini na wapi job vacancies za huko museum
 
Yani wewe ndio bure kabsa.

Mtu anayesoma music unategemea aende kuimba? Wewe unafikiri music ni about kuimba tu?
Nyie ndio kina doto magari.
 
Wahitimu wangapi walisoma hiyo BA Archaeology wamejiajiri au kuajiriwa huko?

Hizo ni digrii za kupoteza muda na kupoteza maisha ya vijana. Ziepukwe kama ukoma.
 
Unakuta kijana kabisa anaenda Chuo Kikuu kusoma BA Archaeology ili iweje? Dunia ya Leo kweli?
Ni kwa sababu bongo nyoso. Hao watu wa Archeology wana faida ya kufukua mabaki ya mali walizoacha Wakoloni hasa Wajerumani. Huko Ulaya pamejaa maghorofa lakini wapo wanafunzi wanasomea Archeology, sembuse Tanzania ambapo mabaki ya Wakoloni kibao tu hayajafukuliwa. Utawasikia tu wanajiji wakisema, "pale kuna mali za wakoloni walifukia" lakini hakuna anayethubutu kuchimba kwa kuogopa kufa!
 
Nenda kasome wewe hizo kozi halafu ukafanye hizo kazi kama ni rahisi kihivyo.
 
Kwanini mtu anasoma ?

 
Wapo Ma Intel ndio kazi Yao kupekua Historia na kupitia Mkia anavutwa Simba mzima na anwekwa zoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…