Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Katika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na kukubali waziwazi kwamba wananunua sex, lakini leo hii imekua kawaida.
Kiukweli maongezi yao hayakunistaajibisha kivile lakini kuna masuala yalinijia akilini na kubaki natafakari zaidi. Nikaanza kufikiria kama jamii, imekuaje tumefika hapa.
Mimi sio Gen Z, nimezaliwa na kukua katika generation ambayo wanaume walikua comfortable with chesting billing from women whom they liked so they could have sex, ni generation ambayp iliamini ukimpenda mwanamke basi bill zake zinakua ni wajibu wako.
Unalipa kodi, unamalizia nyumba yake, umamsomesha, unasaidia ndugu zake n.k. Wanaume wengi walikua wanafanya hivi bila malalamiko. Then, why these Gen Z young men did not inherit this patience or threshold of tolerance and endurance?
They don't understand why they should put women in their lives on a monthly allowance when they could spend less to have the same sex which is the end game of all the spending and billing.
Hapa tuelewane kwamba, ukahaba ulikuwepo tangu kitambo, haujaanza leo, lakini kasi ya uongezekaji wa hii biashara inatisha. Pia ieleweke ninavyosema ukahaba simaanishi wanaojipanga barabarani tu, hapa namaanisha mpaka wale wanaojiuza indirect kwa kujificha kwenye kichaka cha matunzo
So, for these Gen Z boys paying for sex is better and gives better returns than going through the mechanics of relationship because you spend more in relationships.
Sipo hapa kuwatetea hawa madogo, but we need to have honest conversation about why younger men are avoiding commitments and relationships, rather they opted for paid sex? i think i know why:
Mahusiano ya kimapenzi tayari yashakua full-blown commercial transaction.
Si unanipenda.! basi ni wajibu wako kinihudumia mahitaji yangu, ku-sponser my extravaganda life style n.k. Hii ndio mindset ya wanawake tulio nao kwenye jamii leo hii.
Kwa upande wa wanawake ni sawa lakini kwa hawa Gen Z boys inagoma kuingia akilini, ndio maana hawaitaki idea ya monogamous relationship ambapo unatumia kiasi kikubwa zaidi kwa ajiri ya kupata sex in return.
Hapa ndipo vijana wanaona cheap and fast option ni kulipia tu. Baada ya tendo no attachment, no billing. Kama end goal ni kupata sex sasa kwanini utoe laki kumnunulia demu wigi wakati unaweza piga pisi ya kiwango kizuri tu kwa elfu 30?
Before now relationahip were meant for two people who likes each other to underatand other aspects of each other's lives and see whether they were compatible to spend the rest of their lives together. But now we turned it into commercial transaction.
Ukimtembelea demu wako nenda na zawadi, akija kukutembelea umlipie nauli na posho ya kuja wakati akiwa anaondoka. Kwa sasa ukimuomba tu namba mwanamke ni kama umesaini mkataba wa ku-adopt mtoto yatima. Hapa ndipo Gen Z wanaona mambo yasiwe mengi, anaingia telegram ana-import mzigo geto.
Nikiwa kama mzazi mpya huwa namwangalia huyu mwanangu ambae kwa sasa ana miezi miwili tu, nafikiria atakapoingia mtaani sijui atakutana na ulimwengu wa aina gani