Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ila kiukweli Wasichana wametumika vibaya sana. Ile wengi pia kwa ujinga wao wa tamaa.Sawa tu,zaman kipindi hawajaanza hii mbinu ya kuomba omba kuna wajinga walikuwa wanawatumia vibaya,unakuta mfano wkend jamaa anawagonga mpaka kumi kwa siku afu bure tu na wengine wanamfumania anawafukuza na kuwatukana lakin sahv huo ujinga huwez fanya maana kila anaekuja anataka kuondoka na hela au kabla hajaja umrushie hela
HahahaWatunze na hela ya kununulia ARV, za bure hazitakuwepo tena
Nakubaliana kabisa na ilo la kujiuza direct or indirect lakini biashara ifanyike kwa busara yaani kwa vificho na kufichiana siri za wauzaji na wananunuaji, sasa hili la watu kuweka wazi hadharani kabisa kama wanapoga story za ronaldo nq messi halafu inaonekana ni kawaida linafikirisha kidogoNdio maana tukasema wanawake Asilimia 95 hujiuza either direct or indirect so ukifahamu hilo hutoumia kichwa kamwe juu yao,
Ndio mkuu mimi wa kishua kiswahili hakipandi vizuriTàtizo lako nini? Hujui kiswahili au unataka tujue wewe ni wa kishua umeishi hukooo àu ..,.
Ila wauzaji miili wanauza hàdharani sasa unashangaa nini kuongea hàdharani?
Msiwafanyie ivyo. Hata kama wana shida ya pesa na wao wana haki ya kupata starehe wakati wa tendoChamoto lazima wakipate , hiyo ndiyo dhamani ya pesa!
Ukileta Mambo, ya Mapenzi mwanamke ndo anafaidika na hilo Jambo kununua. Kuliko Kutafuta mawazo,Kwaiyo ni wakati wa serikali kuihalalisha sasa, ili ijulikane nani mpenzi nani mteja.
Havai mpira...akumbushwe tuu kwamba USAID imefutwa
😀😀😀😀 dozi ya ARV ni 400k kwa mweziWatunze na hela ya kununulia ARV, za bure hazitakuwepo tena
Hawana haja ya starehe zaidi ya pesa hawa! wako makini kwelikweli kusikilizia goli, baada ya goli utasikia vipi unaongeza pesa? Vinginevyo hapo ndio mechi imeisha.Msiwafanyie ivyo. Hata kama wana shida ya pesa na wao wana haki ya kupata starehe wakati wa tendo
Ni kweli mkuu popote panapojumuisha hisia za binadamu hakuna guaranteed return ya uwekezako wako. Hisia zinabadilika, watu wanakua boredUkileta Mambo, ya Mapenzi mwanamke ndo anafaidika na hilo Jambo kununua. Kuliko Kutafuta mawazo,
Huko napo pia changamoto ila hayo malezi hayatasaidia kitu kama hiyo mwanaume nguvu zake ya uzalishaji wa pesa hazikidhi mahitaji ya mwanamkeSuala ni uchumi pekee? hakuna maeneo mengine ambayo tumepoteza uelekeo mfano maadili na malezi?
Aiseeee..!Hawana haja ya starehe zaidi ya pesa hawa! wako makini kwelikweli kusikilizia goli, baada ya goli utasikia vipi unaongeza pesa? Vinginevyo hapo ndio mechi imeisha.
Usiwekeze Hisia + Pesa, Mali ktk mapenzi utapata shida sana( Mwanaume)Ni kweli mkuu popote panapojumuisha hisia za binadamu hakuna guaranteed return ya uwekezako wako. Hisia zinabadilika, watu wanakua bored
Kwaiyo solution ni kuwa sex worker?. Hawezi kutafuta kazi ili aongezee hapo kwenye baki ambayo mwanaume kashindwa au akatulia kwa wazazi wake mpaka atakapompata mwanaume ambae anaweza ku-sponser lifestyle yake kwa 100%?Huko napo pia changamoto ila hayo malezi hayatasaidia kitu kama hiyo mwanaume nguvu zake ya uzalishaji wa pesa hazikidhi mahitaji ya mwanamke
Mfano una mtoto wa kiume amefikiaha umri wa kujitegemea na ameondoka nyumbani. Wewe kama baba utamshauri aoe au abaki single na utakapobanwa na upwiru anunue dadapoa?Usiwekeze Hisia + Pesa, Mali ktk mapenzi utapata shida sana( Mwanaume)
Mwanamke Hana cha kupoteza ktk Maisha yake.
Kwa upande wangu naona Bora mtu anenunua maana anakua Hana majukumu yasio muhusu, maana mwanamke anakuja kwako kwa Faida Tu, akiona Faida hazipo hapo mwanamke lazima ataondoka.
I wasn't talking about the daughter, I'm talking about the men; most people don't invest in relationships because it's too expensive to do soKwaiyo solution ni kuwa sex worker?. Hawezi kutafuta kazi ili aongezee hapo kwenye baki ambayo mwanaume kashindwa au akatulia kwa wazazi wake mpaka atakapompata mwanaume ambae anaweza ku-sponser lifestyle yake kwa 100%?
Let say you have a daughter, can you advice her to fvck strangers for money so she can finance her life?
OperaNdio nini?
Hayo ni maamuzi yake, Maisha ni Maamuzi Binafsi kumshauri mtu ni kupoteza mda wako, hata mtu akikufuata kuomba ushauri, anakua Tayari ana majibu yake ila anakuuliza kama mtego Ili aone mawazo yake.Mfano una mtoto wa kiume amefikiaha umri wa kujitegemea na ameondoka nyumbani. Wewe kama baba utamshauri aoe au abaki single na utakapobanwa na upwiru anunue dadapoa?