Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #21
Hii trend ya sasa imekua official commercialized kabisa mzee mwenzanguKila mwanaume anauziwa sex,
Tumetofautiana TU mazingira tunavyouziwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii trend ya sasa imekua official commercialized kabisa mzee mwenzanguKila mwanaume anauziwa sex,
Tumetofautiana TU mazingira tunavyouziwa
Katika miongozo ya jf hakuna masharti ya kuandika., muhimu tu usitumie lugha ya matusiHuu ni uandishi gani, acha egoism, kujua kiingereza siyo utaalam, acha ulimbukeni. Tumia lugha moja ijulikane hadhira yako ni ipi.
Ipo kitambo lakini sio kwa kasi ya sasaNi mbinu na muda tu ndivyo vimebadirika.Biashara kongwe duniani ni ngono, fanya rejea ya Sodoma na Gomora.
Na kila mwanamke ana bei ndio maana akipata anayeprovide bei kubwa zaidi yako unapigwa chini mapema kiufupi wanawake Wana price tag siku zoteKila mwanaume anauziwa sex,
Tumetofautiana TU mazingira tunavyouziwa
Operamin 😀😀😀😀... vijana wana lugha za ajabu sanaNitapitia na Operamin yako
Alisikika kijana mmoja hivi
Operamin unaijua lakini inavyofanya kazi?Operamin 😀😀😀😀... vijana wana lugha za ajabu sana
Wakati wenyewe ndio wanakuuzia hivyo km hutaki kununua kanunue kwenginemImi nawasifu wanawake wa sasa kwa kuweka pesa mbele,hii kuweka pesa mbele ni nzuri ili tule mbususu kwa adabu
Hutak kanunue
shida sio price tag shida ni unapata value gan in return baada ya kulipia. Batch ya wanawake wa kizazi cha nyuma angalao walikua wanaoffer value in return ya uwekezaji wa mwanaume. Sasa leo mrija wa pesa ukikata na huduma inakata halafu end game ya hayo yote ni sex. Gen Z wanaona bora muuziane tu kila mtu achukue njia yakeNa kila mwanamke ana bei ndio maana akipata anayeprovide bei kubwa zaidi yako unapigwa chini mapema kiufupi wanawake Wana price tag siku zote
Biashara ya Mitambo Hiyo, Leta Price Tag. Kila mtu asipate asala we upate utakacho na yeye apate atakacho....Win win situationKatika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na kukubali waziwazi kwamba wananunua sex, lakini leo hii imekua kawaida.
Kiukweli maongezi yao hayakunistaajibisha kivile lakini kuna masuala yalinijia akilini na kubaki natafakari zaidi. Nikaanza kufikiria kama jamii, imekuaje tumefika hapa.
Mimi sio Gen Z, nimezaliwa na kukua katika generation ambayo wanaume walikua comfortable with chesting billing from women whom they liked so they could have sex, ni generation ambayp iliamini ukimpenda mwanamke basi bill zake zinakua ni wajibu wako.
Unalipa kodi, unamalizia nyumba yake, umamsomesha, unasaidia ndugu zake n.k. Wanaume wengi walikua wanafanya hivi bila malalamiko. Then, why these Gen Z young men did not inherit this patience or threshold of tolerance and endurance?
They don't understand why they should put women in their lives on a monthly allowance when they could spend less to have the same sex which is the end game of all the spending and billing.
Hapa tuelewane kwamba, ukahaba ulikuwepo tangu kitambo, haujaanza leo, lakini kasi ya uongezekaji wa hii biashara inatisha. Pia ieleweke ninavyosema ukahaba simaanishi wanaojipanga barabarani tu, hapa namaanisha mpaka wale wanaojiuza indirect kwa kujificha kwenye kichaka cha matunzo
So, for these Gen Z boys paying for sex is better and gives better returns than going through the mechanics of relationship because you spend more in relationships.
Sipo hapa kuwatetea hawa madogo, but we need to have honest conversation about why younger men are avoiding commitments and relationships, rather they opted for paid sex? i think i know why:
Mahusiano ya kimapenzi tayari yashakua full-blown commercial transaction.
Si unanipenda.! basi ni wajibu wako kinihudumia mahitaji yangu, ku-sponser my extravaganda life style n.k. Hii ndio mindset ya wanawake tulio nao kwenye jamii leo hii.
Kwa upande wa wanawake ni sawa lakini kwa hawa Gen Z boys inagoma kuingia akilini, ndio maana hawaitaki idea ya monogamous relationship ambapo unatumia kiasi kikubwa zaidi kwa ajiri ya kupata sex in return.
Hapa ndipo vijana wanaona cheap and fast option ni kulipia tu. Baada ya tendo no attachment, no billing. Kama end goal ni kupata sex sasa kwanini utoe laki kumnunulia demu wigi wakati unaweza piga pisi ya kiwango kizuri tu kwa elfu 30?
Before now relationahip were meant for two people who likes each other to underatand other aspects of each other's lives and see whether they were compatible to spend the rest of their lives together. But now we turned it into commercial transaction.
Ukimtembelea demu wako nenda na zawadi, akija kukutembelea umlipie nauli na posho ya kuja wakati akiwa anaondoka. Kwa sasa ukimuomba tu namba mwanamke ni kama umesaini mkataba wa ku-adopt mtoto yatima. Hapa ndipo Gen Z wanaona mambo yasiwe mengi, anaingia telegram ana-import mzigo geto.
Nikiwa kama mzazi mpya huwa namwangalia huyu mwanangu ambae kwa sasa ana miezi miwili tu, nafikiria atakapoingia mtaani sijui atakutana na ulimwengu wa aina gani
Mkuu kumbuka na wao cha moto wanakutana nacho. Vijana wanawapakia vumbi la kongomImi nawasifu wanawake wa sasa kwa kuweka pesa mbele,hii kuweka pesa mbele ni nzuri ili tule mbususu kwa adabu
Hutak kanunue
Ndio maana tukasema wanawake Asilimia 95 hujiuza either direct or indirect so ukifahamu hilo hutoumia kichwa kamwe juu yao,shida sio price tag shida ni unapata value gan in return baada ya kulipia. Batch ya wanawake wa kizazi cha nyuma angalao walikua wanaoffer value in return ya uwekezaji wa mwanaume. Sasa leo mrija wa pesa ukikata na huduma inakata halafu end game ya hayo yote ni sex. Gen Z wanaona bora muuziane tu kila mtu achukue njia yake
Kumbuka hata mke kuandaliwa. Kinachobadika ni majina tu , kwa mke ni maandalizi na pesa unazompa ni matumizi. Kwa hawara au kimada ni hongo hiyo kusudi upate ngono. Na wanaume rijali ni waandalizi/wahongaji wazuri sana kasoro mbakaji tu.Ipo kitambo lakini sio kwa kasi ya sasa
Tàtizo lako nini? Hujui kiswahili au unataka tujue wewe ni wa kishua umeishi hukooo àu ..,.Katika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na kukubali waziwazi kwamba wananunua sex, lakini leo hii imekua kawaida.
Kiukweli maongezi yao hayakunistaajibisha kivile lakini kuna masuala yalinijia akilini na kubaki natafakari zaidi. Nikaanza kufikiria kama jamii, imekuaje tumefika hapa.
Mimi sio Gen Z, nimezaliwa na kukua katika generation ambayo wanaume walikua comfortable with chesting billing from women whom they liked so they could have sex, ni generation ambayp iliamini ukimpenda mwanamke basi bill zake zinakua ni wajibu wako.
Unalipa kodi, unamalizia nyumba yake, umamsomesha, unasaidia ndugu zake n.k. Wanaume wengi walikua wanafanya hivi bila malalamiko. Then, why these Gen Z young men did not inherit this patience or threshold of tolerance and endurance?
They don't understand why they should put women in their lives on a monthly allowance when they could spend less to have the same sex which is the end game of all the spending and billing.
Hapa tuelewane kwamba, ukahaba ulikuwepo tangu kitambo, haujaanza leo, lakini kasi ya uongezekaji wa hii biashara inatisha. Pia ieleweke ninavyosema ukahaba simaanishi wanaojipanga barabarani tu, hapa namaanisha mpaka wale wanaojiuza indirect kwa kujificha kwenye kichaka cha matunzo
So, for these Gen Z boys paying for sex is better and gives better returns than going through the mechanics of relationship because you spend more in relationships.
Sipo hapa kuwatetea hawa madogo, but we need to have honest conversation about why younger men are avoiding commitments and relationships, rather they opted for paid sex? i think i know why:
Mahusiano ya kimapenzi tayari yashakua full-blown commercial transaction.
Si unanipenda.! basi ni wajibu wako kinihudumia mahitaji yangu, ku-sponser my extravaganda life style n.k. Hii ndio mindset ya wanawake tulio nao kwenye jamii leo hii.
Kwa upande wa wanawake ni sawa lakini kwa hawa Gen Z boys inagoma kuingia akilini, ndio maana hawaitaki idea ya monogamous relationship ambapo unatumia kiasi kikubwa zaidi kwa ajiri ya kupata sex in return.
Hapa ndipo vijana wanaona cheap and fast option ni kulipia tu. Baada ya tendo no attachment, no billing. Kama end goal ni kupata sex sasa kwanini utoe laki kumnunulia demu wigi wakati unaweza piga pisi ya kiwango kizuri tu kwa elfu 30?
Before now relationahip were meant for two people who likes each other to underatand other aspects of each other's lives and see whether they were compatible to spend the rest of their lives together. But now we turned it into commercial transaction.
Ukimtembelea demu wako nenda na zawadi, akija kukutembelea umlipie nauli na posho ya kuja wakati akiwa anaondoka. Kwa sasa ukimuomba tu namba mwanamke ni kama umesaini mkataba wa ku-adopt mtoto yatima. Hapa ndipo Gen Z wanaona mambo yasiwe mengi, anaingia telegram ana-import mzigo geto.
Nikiwa kama mzazi mpya huwa namwangalia huyu mwanangu ambae kwa sasa ana miezi miwili tu, nafikiria atakapoingia mtaani sijui atakutana na ulimwengu wa aina gani
Chamoto lazima wakipate , hiyo ndiyo dhamani ya pesa!Mkuu kumbuka na wao cha moto wanakutana nacho. Vijana wanawapakia vumbi la kongo
Ndio nini?Nitapitia na Operamin yako
Alisikika kijana mmoja hivi
HahahahMkuu kumbuka na wao cha moto wanakutana nacho. Vijana wanawapakia vumbi la kongo
Kwaiyo ni wakati wa serikali kuihalalisha sasa, ili ijulikane nani mpenzi nani mteja.Biashara ya Mitambo Hiyo, Leta Price Tag. Kila mtu asipate asala we upate utakacho na yeye apate atakacho....Win win situation
Sawa tu,zaman kipindi hawajaanza hii mbinu ya kuomba omba kuna wajinga walikuwa wanawatumia vibaya,unakuta mfano wkend jamaa anawagonga mpaka kumi kwa siku afu bure tu na wengine wanamfumania anawafukuza na kuwatukana lakin sahv huo ujinga huwez fanya maana kila anaekuja anataka kuondoka na hela au kabla hajaja umrushie helaMkuu kumbuka na wao cha moto wanakutana nacho. Vijana wanawapakia vumbi la kongo
Ni sahihi..If you can pay for convenience, do it. Mambo ya stori za gesi imeisha, sijui baba anaumwa mara kuulizana maswali ya kijinga kijinga sijui umekula nini baby etc. haviendani na kasi ya maisha ya sasa haswa kwa tusiopenda drama. Njoo na price tag yako tumalizane mapema na tusisumbuane