Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri



Mkuu katika point uliyoongea ni hiyo kwamba huhitaji kuwa na pesa kiasi kadhaa ili uache kazi No

Yaani kama utakauwa upo katika ajira na unataka uhifadhi 10M ndo uache kazi utaendelea kuwaza hivyo hivyo mpaka una-staafu halafu ndo unaanza zile ninge

Kuna watu wengi sana makazini kila siku wanasema ntaacha kazi ntaacha kazi lakini tayari ana 40 years

Ni hivi you wanna quit your motherfuckin' do it right now at the moment

By december nakwenda kuacha kazi yeaaah naacha kazi na kusimamia project zangu za kilimo nilichoanza mwaka huu mwanzoni

Naacha ikasimamie kule kwa sababu naweza kutengeneza hata 10 M kila baada ya miezi mitatu

Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence

Unataka kuacha kazi Do it now kinachowezekana leo kisingoje kesho
 
Hyo total income ya mwaka ni faida ya mradi wako au ni vp mkuu cjakuelewa naomba ufafanuzi
 
Kujiajir kuna changamoto ILa ni kupambana nazo tu ...Mimi nmeacha kazi ya ualimu nloanza 2015 nna miaka 24 ....nimejiajir nasafirisha kuni toka pwan kuwaletea wauzaji wa rejareja na naangalia nifungue nam kijiwe changu ...

Japo bsness haijawa nzur kiivo na nna miez minne ila naamin ntafka mbali .

Na ukiwa uko job maybe hujui ukitoka ufanye nn ...zpo fursa nyingi sana ukiwa na hta one million tu ....unaweza end mtwara kununua korosho na ukauza kwa vyama vya ushirika inalipa sana

Let's do it kuajiriwa n utumwa sana ....Allah atufanyie wepes
 
Bado bodi ya mikopo wachukua chao. Wakimaliza makato nifanya maamuzi magumu
 
Cha msingi n kujiamin na kujua unatkka unaenda Fanya nn .. Mfano mm n mwalimu nmeacha miez saba sasa toka nilipoanza kaz may 2015

Sasa Nina vibal maliasili nasafirisha kuni kutoka pwan kuwauzia wauzaji wa rejareja dar .... na n biashara nzur inayoshka kas jpo weng hawajui .....

Karbun in sha Allah ntafungua eneo lang binafs niuze kuni zang ambazo natoa faida ya hta lak 8 ndan ya two or three wiks

Ka una mtaji ..tafta bsness nzur...usikurupuke na Allah akubariki
 
Ingekuwa kipindi cha JK ndo unaacha kazi ili ujiajiri hapo nakuunga mkono pamoja mguu ikibidi. Lakini magu hatabiriki, hajali uchumi wa mwananchi. Mfn unaamua kufungua biashara ya sh Mil 10, tra hao wanakuja kukufanyia tasmini ya kodi. Watakuambia kodi yako ni sh mil 6 Kwa mwaka mtavutana wee baadae wanakufungia... Sina lengo la kumkatisha mtu tamaa lakini zama sahivi imebadilika sana huu utawala si rafiki kwa mfanyabiashara yoyote awe mkubwa au mdogo
 
Hii mbinu nimeitumia sana mpinzani wangu alikuwa anafungua saa1 anafunga saa10 mi nikawa nafungua saa 3 nafunga saa1 usiku wateja wake wengi niliwackua coz walikuwa na uhakika wa kufanya manunuzi jioni

Mbinu nyingine ni KUUZA BIADHAA ZA KAWAIDA TU kama wanazouza washindani wako, lakini unatumia mbinu ya KUFANYA JAMBO UNIQUE KWENYE BIASHARA YA KAWAIDA. Mfano, washindani wako wote wanafungua biashara saa mbili Asubuhi na kufunga saa 2 usiku, wewe fu
 
 
 
Mkuu unaweza uwe sahihi na usiwe sahihi pia. Kwanza ni kweli aina serikali inaweza athiri kwa uchanya au uhasi uwekezaji wowote, uwe mdogo au mkubwa.

Lakini kuna jambo la kujiuliza kama serikali ya Magu inabana sana wafanya biashara kwahiyo ni ngumu kutusua, kwahiyo tubaki serikalini ambapo haibani watumishi na watumishi wao wanaishi kama Malaika. Ukipata jibu la hilo swali, utagundua you have nothing to loose once you decide to quit.

Lakini pia, kama sio mwajiriwa wa serikali, na ni mwajiriwa wa sekta binafsi bado bosi wako/owner wa kampuni unapofanyia kazi si anaathirika kwa namna serikali ya Magu inavyoendeshwa? Akiathirika mwenye kampuni, waajiriwa tunapona vipi?

Hata hivyo intelligent investor yoyote anaamini kuwekeza wakati wa crisis. Ananunua hisa wakati wa crisis, Ananunua mashamba Rufiji, Ikwiriri wakati wa crisis n.k Kwahiyo kuwekeza au Kujiajiri wakati huu ambapo kila mtu anaogopa Kujiajiri ndio wakati muafaka.

Mwisho wa yote mkuu ukitaka kutusua kwenye maisha get out of your comfort zone, I assure u will get success. Lakini unaweza ukabaki kwenye comfort zone yako maisha pia yakaenda.
 
Mkuu ukitaka maisha yanoge zaidi fanya utafiti ujue ni bidhaa gani zaidi zinazonunuliwa dukani kwako muda huo kisha hakikisha hizo bidhaa haziishi dukani kwako
 


Mkuu nakupa heshima zangu zote,

Wewe ni mfano wa kuigwa

Sitaki kuongelea biashara yako ila nakupongeza kwa ujasiri uliouchukua

Bosi wangu nakuona mbali sana baada ya miaka kadhaa maximun nakupa mitano

Cha msingi sasa kuwa mbunifu sana na tafuta fursa tofauti tofauti ili kufanikisha malengo yako

Kama tusipofanya haya sisi nani afanye?

Sisi ndo watu wa kubadilisha mitazamo sisi ndo watu wa kutengeneza ajira tofauti

Tuamkeni tupambane


Jack ma anasema unachohitaji ni idea tu and go work for it

Kuna vijana tuna laptop ya apple tuna smart phone mbili mfukoni

Ghetto una tv flat ya hatari una fridge una sofa za mbei mbaya

Hivyo vitu vyako ni mtaji tosha unaweza ukaamua kujipunguzia ili ufanye vitu vya maana

Kitu kizuri kuhusu sisi ni kwamba we are young na lazima tupambane


Ndugu yangu Ontario namuitaga mpenda sifa kila siku ila nakiri jeff yupo smart sana na lazima tu-copy vitu kutoka kwake

Naona watu wengi wamegeuka kuwa ma-hater kwa dogo hapana

Under the sun kila kitu kinawezekana

Kuna jamaa mmoja nasikiliza sana podocast zake itune anaitwa Andy frissella anahasisha sana unaweza kumfollow Ig pia youtube kwa jina hilo hilo

Tuamkeni vijana south Africa na kenya wapo mbali kuliko sisi kwa sababu wale jamaa wana thubutu sana


Bosi huo uoga ulionao utaogopa mpaka unazeeka,

Ukiona biashara hiyo watakusumbua TRA tafuta biashara ambayo utaweza kuwakwepa vizuri kodi (sio vizuri ila inapobidi)

Hatuna namna mkuu je tuendelee kuwa maskini kwa sababu tunaogopa hapana haiwezekani

Tunapita humohumo na tutatoboa tu

The hustle is real bro
 
[emoji123]
 
mkiacha mnipe na mimi nafasi jama nipo arusha nmesoma economics and finance bachelor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…