Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ushauri uko poaKwa mtazamo wangu inawezekana kabisa kufanya biashara fulani hata ukiwa kazini wengi wetu tunajisahau tukipata kazi then siku ukija kitaa ndo tunajilaumu kwamba pengine ningekuwa bado kazini ningeweza kufanya jambo fulani,,,, tuchukue hatua leo.
Kumbuka kushika mambo mawili lazima moja Lita kupita kama sio kulikosa kabisa
Ukiwa kazini ni rahisi kuanzisha mradi ila ni ngumu kusimamia
Hapo unaweza kufungua mradi ukiwa kazini ili kupata uzoefu na kuboresha zaidi