Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ushauri uko poaKwa mtazamo wangu inawezekana kabisa kufanya biashara fulani hata ukiwa kazini wengi wetu tunajisahau tukipata kazi then siku ukija kitaa ndo tunajilaumu kwamba pengine ningekuwa bado kazini ningeweza kufanya jambo fulani,,,, tuchukue hatua leo.
Kanzidata(database) ya serikali ni moja hivyo ni vigumu. Taarifa zako watazipata kupitia vyeti vyako.Kwani ukiacha kazi kurudi kwenye ajira ni lazima urudi pale pale?
Boss nimesisitiza ukiacha kazi haina maana ukirudi unarudi pale pale ulipotoka.Kanzidata(database) ya serikali ni moja hivyo ni vigumu. Taarifa zako watazipata kupitia vyeti vyako.
ukiamua kuacha kazi usiwe na mawazo ya kushindwa.
Wakopeshaji wengi hukj mitaani ambao hukopesha watumishi wameishia drs la saba. Iweje wewe msomi ushindwe!
Sentensi yako nzito sana nimeisoma mara kadhaa ili kuielewa,niukweli unao uma kwa lugha rahis ni kwamba Waajiriwa wengi tuna-survive tu na sio kuishi!!. Kuna tofauti kubwa kati ya Surviving and Living!Ukifikiria sana waajiriwa wengi huwa tunahangaikia maisha tunasahau kuishi! Ukitaka upate na Muda wa kuishi inabidi ujiajiri
duuuhhhh waajiriwa tunaenda enda tu kumbee dooh.Sentensi yako nzito sana nimeisoma mara kadhaa ili kuielewa,niukweli unao uma kwa lugha rahis ni kwamba Waajiriwa wengi tuna-survive tu na sio kuishi!!. Kuna tofauti kubwa kati ya Surviving and Living!
Waoo, ila kabla hujaacha kazi tengeneza vitega uchumi vingi vingiMm pia niko katika plan ya kuancha kazi nilikuwa bank kutokana na kifanyishwa kazi kama punda kila siku nikaacha sasa nikapata kwa government na sasa nimechoka napoke 400,000/= na point ukichanganya na posho 300,000/= jumla kama 700,000/= mkopo wanakata 200, 000/= take home 500,000/=
Nauli kwa siku 6000/*30 Msoc kwa siku ofcn 6000/ *30 matumizi mengine kama 3000 ukipiga kwa mwezi 450,000/ nabakiwa na 50,000
Watu tunafanya miujiza
CHALLENGE
NIna carwash ambayo kwa siku inaingiza 25000/ per day nilipo kuwa likizo nikaona inaingiza haidi 40 per day nakuwa naweza kusave nyingi tu nyingi kama 30000/ sasa naona kabisa nahitaji kuwa huru ili niweze kuweka pesa yakutosha na mambo yakenda
Saaa hapo ndipo tunapokwama wengi! Usimamizi. Bora ujilipue tu ukasimamie kwa asilimia miamoja naamini utapata namna nyingine ya kupata fedha ya kujikimu hapa katikati kabla ya kupata mavuno yako yanayokuinua na kukupa kipato unachokipata kazini kwa mwaka mzima.Mkuu sijajiandaa kihivyo,
Nimekuwa mjasiliamali kwa muda sasa nikiwa kazini,
Nimekuwa nikijihusisha na kilimo cha matunda lakini napata hasara sana,
Lakini hiyo hasara haitokani na ubovu w bidhaa la hasha ni usimamizi mbovu
Watu wengi nnao waamin mpaka leo ndo wengi wao wananiliza,
Kimahesabu kwa nikifanya kilimo kwa mara moja naweza pata pesa ya mshahara wa mwaka mzima,
Kwanini niendelee kubaki kazini wakati naona kuna sehemu naweza kupata pesa ya kutosha nzuri tu,
Unaona sasa, kama ukisimamia mambo yanaenda ila umebanwa na kazi umewaachia viwavi jeshi wakatafuna tu nguvu zako! So sad[emoji17] , haya mambo ndiyo yamenikuta mimi mara 3, hivi nimeamua kuboresha kidogo nione matokeo nitakayo yapata. Mambo yakienda vizuri nitaboresha zaidi.Mm pia niko katika plan ya kuancha kazi nilikuwa bank kutokana na kifanyishwa kazi kama punda kila siku nikaacha sasa nikapata kwa government na sasa nimechoka napoke 400,000/= na point ukichanganya na posho 300,000/= jumla kama 700,000/= mkopo wanakata 200, 000/= take home 500,000/=
Nauli kwa siku 6000/*30 Msoc kwa siku ofcn 6000/ *30 matumizi mengine kama 3000 ukipiga kwa mwezi 450,000/ nabakiwa na 50,000
Watu tunafanya miujiza
CHALLENGE
NIna carwash ambayo kwa siku inaingiza 25000/ per day nilipo kuwa likizo nikaona inaingiza haidi 40 per day nakuwa naweza kusave nyingi tu nyingi kama 30000/ sasa naona kabisa nahitaji kuwa huru ili niweze kuweka pesa yakutosha na mambo yakenda
nipoooUpo wewe mtu?
Naona siku hizi umeamua kuiachia nafasi yako, au umebanwa na mambo mengi sana?nipooo
nimewaachia vijana..mambo chungu nzima manNaona siku hizi umeamua kuiachia nafasi yako, au umebanwa na mambo mengi sana?
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Naam inabidi wakati mwingine aiseenimewaachia vijana..mambo chungu nzima man
Tyari umeacha kazi mkuu? Mambo yapoje kitaaniMiezi miwili ijayo natarajia kuacha kazi.nahitaji kuwa free na kuwa karibu na watoto wangu na mume wangu.huku kuajiriwa naona kama utumwa tu.hakuna muda mzuri napata wa kukaa na familia yangu na kuwatake care kwa ukaribu zaidi kama mama na mke pia.sijali kwamba mambo ya huko kujiajiri yatafail au la nimeamua kutoka na mambo yatakuwa poa tu.naamini hivyo.
Kazi gani hiyo kwa week masaa 8? au ya kubet?Mi sijui nitaacha kazi lini, kwa wiki masaa ya kufanya kazi ni masaa 8 tu!!!
ni kweli mkuu
I wish npate mke na mama wa watoto wangu awe na msimamo huuMiezi miwili ijayo natarajia kuacha kazi.nahitaji kuwa free na kuwa karibu na watoto wangu na mume wangu.huku kuajiriwa naona kama utumwa tu.hakuna muda mzuri napata wa kukaa na familia yangu na kuwatake care kwa ukaribu zaidi kama mama na mke pia.sijali kwamba mambo ya huko kujiajiri yatafail au la nimeamua kutoka na mambo yatakuwa poa tu.naamini hivyo.
Ndio, nabetKazi gani hiyo kwa week masaa 8? au ya kubet?