Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Jamaa una dharau sana,kwa TGS ipi upate hivi vitu.
mkuu upo sahihi lakini kazi zetu hizi hadi umiliki nyumba nne utakuwa umestafu na nyumba bado hazijakamilika.
wafanyakazi wengi wanajenga kwa mikopo mshaara ni ngumu sana kujenga

km ulifanya kazi kwa miaka 20 kwa mshahara wa laki 5 kwa mwez.... na ukashndwa kupata ivyo vitu had unastaafu....

ni uzembe pia.

 
Inalipa ukiweza kujiajiri maana unaweza kuacha alafu ikawa balaa. Mimi by that time namalizia kozi ya clinical officer wakanibambikia kesi. Nikawa so stressed nikawa mlevi kupindukia. Nikachana academic transcript niliyopewa na mbele ya principal. Nikaingia DSM sijui pakufikia pakulala wala kula. Mara tena kuna manzi nae kanitosa. Nikaanza kuhustle mjini hapa. Mungu sio Magu leo kuna people kama sita wanakula kwa mgongo wangu.
 
Nipo Serikalina na nimelamba loan benk fulan hivi karibuni mishe zimekaa sawa kiasi nataka nawateme.
Kuna madhara yoyote kuacha huku una loan?
 
vp mkuu. umesha fikia maamuz? Share nasi
Ha ha ha mkuu kwema?

Issue iko hivi nilikuwa kwenye process za kuwasilisha barua ghafla nikapata taarifa fulani kwamba kuna mkopo wanataka kutoa so nika-mute na barua yangu ila soon ntakujulisha mzazi
 
Ha ha ha mkuu kwema?

Issue iko hivi nilikuwa kwenye process za kuwasilisha barua ghafla nikapata taarifa fulani kwamba kuna mkopo wanataka kutoa so nika-mute na barua yangu ila soon ntakujulisha mzazi
hahaa poa mkuu. Tunasubr huo mrejesho
 
Tupe uzoefu mkuu. Njia ulizo pitia
 
Binafsi sijawahi kuajiliwa lakini nimeona ujasiliamali unalipa sana na mtu unajiingizia kipato kikubwa sana.
Maeneo niliyo pata kufanya na nina imani yanaingiza income kubwa ni
1-Ujasiliamali kwenye vyakula na vinywaji
2-Kilimo na ufugaji
3-usafirishaji (watu na mizigo)
4-Nyumba (kupangisha na gesti bubu)
5-Mtandao *
Ni biashara nzuri ila zina ups and downs nyingi..
Kuna kipindi mtu una earn mpaka 200k per days.
Na kipindi una earn hadi 300k per month.... Inakatisha tamaa kupitia vipindi vigumu ila ujasiliamali ni mzuri sana na unalipa.
 
Nipo Serikalina na nimelamba loan benk fulan hivi karibuni mishe zimekaa sawa kiasi nataka nawateme.
Kuna madhara yoyote kuacha huku una loan?
Hamna madhara yoyote mkuu. Nakumbuka kuna mwanangu alikuwa na mkopo nmb. Mwaka 2016 aliamua tu kutembea bila notification yoyote kwa muajiri (DED) akawa anapigiwa simu na uongozi hapokei... Mpka hiv Leo. Ila ashatusua saana. Na makato yake ya mkopo yalikuwa yamefanywa kwa mwaka mmoja tu.
 
si kwa zama za jpm
 

Kwa kweli kazi za watu zinazeesha na kukupa stress chungu zima.
 
Me mwajiriwa kwenye kampuni mmoja kubwa hapa mjini mshahara wangu ni milioni 4.2 nina miaka 15 mpaka sasa kazini ila sijajenga, wala sina kiwanja, nimepanga chumba cha 1 moja kwa mwezi hela pia benki nina laki 2 tu.... Mshahara nikipata namalizia kwa wanawake, kufanya starehe maeneo mbali mbali, kuvuta sigara na kunywa pombe za bei ghali, gari ninayo 2 ila mafuta yananifilisi...

Nishauri kwa sasa nina umri wa miaka 39. Naomba ushauri. [emoji16] [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…