Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Yes kujiandaa kisaikolojia ndo swala la muhimu sana na wala sio kujiandaa kwa pesa.

Watu wanazani unapaswa kujiandaa kwa pesa.
Kabla sijaacha kazi nilikuja humu nikapata ushauri nikaacha na pale nilipopata magumu pia nilikuja humu humu nikapa ushauri siku zikasonga, kabla ujaamua kuacha kazi kwanza jijenge kisaikolojia kwanza maana itakuchukua zaidi ya mwaka kukaa sawa, unaweza ukawa na hela na usijue nini cha kufanya
 
Wapi huo ni mtazamo wako wewe. Watu wengi mbon wamepanga na wanafanya biashara? na wanatoboa
Mkuu hujaelewa kilichomaanishwa hapo.
Hatujasema waliopanga hawafanyi biashara.
Kilichomaanishwa hapo ni kwamba Kama Bado umeajiriwa ni vema kujenga nyumba yako ili utakapoacha kazi uepuke manyanyaso kwenye kipindi hicho kigumu.
Mfano mzur mm nimeachishwa kazi Sasa hivi nimetulia kwangu hela ndogo ndogo za kula hazinipigi chenga.
Lakini nawaza ingekuwa nimepanga halaf kodi standard karibu milioni 2 kwa miezi 6,je ningefanyaje?si lazima ningedhalilika kwa wenye nyumba?
 
Kwa mawazo yangu!!
Kuacha kazi ni jambo jema sana kulifanya mapema wakati bado tunanguvu ya kufanya kazi nyingine... Kwasababu
tutake tusiake
ipo siku utaacha mahali ulipo iwe kwa kufukuzwa kazi au kustaafu...
sasa kuliko usubiri ufike miaka 60 ndio uanze kuhangaika kufanya biashara ni bora leo hii ukiwa kijana upambane ili ufanikiwe.

Muhimu:
Kujifunza upya maisha kwasababu maisha ya kifanya kazi ni yakuwaza kununua zaidi na kujiweka katika hadhi fulani..(kiufupi tunajali sana kuonekana kwamba tunapesa na maisha mazuri na kuwaza sana kuhusu watu watanionaje) wafanyabishara wao wanawaza kuuza zaidi na kutafuta biashara zaidi na wanazingatia kutunza faida na kuongeza mtaji. Mambo ya mavazi, starehe na kujali muonekano huja baadae baada ya kufanikiwa. (wafanyabiashara wengi huwezi kuona anaenda hotel ya gharama kwenda kupata chakula mda wake wa kazi huishia kula vyakula vya mama ntilie na hotel nafuu zaidi.
 
Yes umeongea fact.
Wako makini sana kwenye matumizi.
Yaani kwa mfano mfanyabiashara hata akiwa na gari halitumii kila siku bali atalitumia kwa safari muhimu tu.
 
Aina 50 ya ONLINE BUSINESSES Platforms Unazoweza Anzisha TZ na Uka-Dominate Soko
 
Biashara ni nzuri lakini inahitaji nidhamu kubwa sana labda kuliko ya kuajiriwa,nidhamu ya matumizi ya pesa kwenye nyanja ambazo si za biashara mfano mtu akiumwa au kufariki hutakiwi kutoa katika mtaji la sivyo wakifa 3 biashara itaelekea pabaya na vile vile inategemea ni aina gani ya biashara .
Kuna biashara zinategemea uwanja wa biashara, na kama je hamna faulo kwenye huo uwanja, kila kitu kinakwenda kwa haki?Mfano mzuri ni ni biashara ya genge, haina malipo kwa TRA, watu hawajui ni biashara nzuri kwa sababu hamna binadamu anapika bila kwenda gengeni, jirani yangu ana nyumba safi na biashara yake kubwa ilikuwa genge. Wengi tumesikia wafanya biashara wakubwa wanaofungwa kwa kukwepa kodi, kwa hiyo hata kama palikuwa na fursa hiyo sehemu lakini wewe ukawa unalipa kodi yeye halipi, huwezi kufanikiwa kama yuko karibu na wewe au anakwenda unakokwendaga kuomba biashara.
Tabia zetu wa TZ tunajuana, kuna biashara mpaka sasa huipati bila kutoa kiasi fulani cha kuisukuma, kwa kifupi mimi naona inabidi kutumia fursa/nafasi iliyopo lakini kwa ukaribu sana ukiangalia sana risk iliyopo kwenye hiyo biashara.
 
Heshima kwenu viongozi

Nimeona ni vyema na sisi wenye lengo la kuacha kazi tukawa na uzi wetu kama wenye agenda nyingine walivyoanzisha uwanja wao.

Lengo la nyuzi hii ni kupeana mawazo, moyo na uzoefu wa mbinu bora tunazotumia katika maandalizi yetu ya kuachana na aina Mpya ya utumwa, yaani KUAJIRIWA.

Lengo lingine la uzi huu ni kuonesha sababu ya uamuzi wa kutaka kuacha kazi ili kila mtu apime kama sababu yake ni sababu tosha ya kufanya hivyo ama la, lakini hii pia inatoa fursa kwa wachangiaji wengine kufanya assessment ya maamuzi hayo.

Kuacha kazi na kujiajiri na pengine baadae kufikia hatua ya kuajiri ni uamuzi wa kuyatoa maisha yako mikononi mwa mtu mwingine (muajiri) na kuyakabidhi mikononi mwako mwenyewe. Ni kujitoa katika kutawaliwa na kuamua kujitawala mwenyewe. Ni vyema pia tukajulishana gharama za maamuzi hayo mazito ya kutoka Misri kuelekea Kanani. NI WAZI HAITAKUWA SAFARI NYEPESI.

Tushauriane time scale, mfano mimi ninakimbizana na miaka Mitatu kabla sijatoka kwenye hii Jela. Baada ya hapo ntarudi uraiani, nyumbani kuishi maisha yangu ya uhuru.

Tunaotaka tutoke hii Jela Tushauriane humu, je tukusanye mtaji sasa bila kufanya ujasiriamali na tutakapoacha tu kazi ndio tuanze rasmi ujasiriamali? Ama tuanze sasa hivi kufanya kazi na ujasiriamali ili tu-taste ladha ya ujasiriamali kabla hatujaacha kazi? (Ila hata mambo yakiwa magumu kwenye ujasiriamali kipindi tupo kazini na tunafanya ujasiriamali, kuendelea na kazi sio option). Kubaki Jela haiwezi kuwa option kisa kuna dona na maharage ya bure, bora kuwa uraiani ule mlo mmoja wa maharage na ugali kwa mwaka mmoja ili uje kula asali na maziwa kwa miaka mingi ijayo.

Kila mtu anaweza kuwa na sababu yake ya kuacha kazi. Wengine watakwambia kazini kipato kidogo, lakini amini nakwambia hata ukiajiri na kutoweka mwili, moyo na roho yako kwenye hiyo kazi, unaweza kupata kipato kidogo kuliko hata kile cha kazini. Katika swala la kipato, tofauti ya kipato cha kuajiriwa na kujiajiri ni kipato kimoja Anapanga mtu akulipe kiasi gani, na Kingine Unapanga wewe uingize kiasi gani.

Wengine watakwambia, wanataka waache kazi sababu ya Mateso kazini,ubabe wa mwajiri, kutojali kwa mwajiri. Yote hayo yanakupa HASIRA, geuza hasira zako kuwa DRIVES, zigeuze kuwa USONGO.

Kwanini nataka niache kazi, nataka kuwa huru, nataka kusafiri huku na kule bila kujali bosi atahesabu siku tatu sipo kazini anifute kazi. Sitaki kumpigia mtu mmoja Magoti (bosi) ili kipato changu kiendelea kutiririka. Bora nipigie magoti watu wengi (wateja) ili kipato kiingie, kwani mteja mmoja akiamua kunifukuza kazi ntakuwa na option kwa mteja mwingine.

Uzi wetu TUNAOPANGA KUACHA KAZI, the clock is clicking....LET'S DO IT, LET'S GO.... Tunapenda pia kuchota busara za wale walioacha kazi na wapo wanaendelea kupambana.

Yani hapando penyewe. Hakika mm binadsi hili jambo liko moyoni hadi napata njozi juu ya hili jambo.

Mm sitaki kumsemea mtu mawazo yake ila itakuwa vema zaidi kwamba wakati unapanga kujiajiri basi kwa kiasi icho kidogo ulichonacho pengine ni milioni 1 au 5 basi anza biashara yako na nadhani hasa kama unamwenza inakuwa raisi zaidi maana mtasaidiana kwenye usimamizi na hii ni kama mwenza wako yuko positive na anafikiria maisha yenu baadae. Ukisema uwache kazi then ujikite kwenye biashara yako itakuwia vigumu . maana tukumbuke kuna interim period hapa kati ambayo pengine ni miezi 6 mpaka 12 mpaka 24 ambapo biashara yako inatakiwa kukaa mpaka kustablelize kulingana na changamoto mbalimbali na kuwezi kupenetrate kwenye soko husika na kuzoeleka. Sasa katika kipindi hiki pengine option ya kuvumilia utumwa ni sahihi maana kile kidogo utachokua unatumikia kwa wakati ule kitakuwa kinaziba myanya fulani kwenye biashara yako na kufanya mambo mengine.

Pia kama umejiwekea miaka 3 ijayo uwache kazi ujiajiri nadhani ukianza kupitia changamoto za biashara ndani ya icho kipindi bado ukiwa katika ajira inakuwa ni vema sana. Ila pia kama unategemea kujiajiri alafu bado upo single itaitaji kujitoa asilimia 100 maana uko peke yako na huna msaidizi na kila unapowazo kutoka unafikiria mtu wa kumwamini walau amasidiane utampata wapi maana hata ndugu wanaibiana sikuhizi na huwezi chukua mtu baki akusaidie. Hii ni changamoto binafsi nilikuwa nayo yani personal conflict kwasababu palikuwa hakuna mtu nliekuwa nikimwamini na ikanifanya nitamani sana nipate mwanamke ambae mawazo na mtazamo wake wa kimaisha haujatofautiana sana na wangu ndipo alipojitokeza nikasema MAZBUTI! hayawi hayawi sasa lita wezekana. Trust me, its not easy to trust a fellow man but its easier to trust a woman who you sleep with everyday and your share your lives perspectives but unless you trust that woman you are good to go na especially if she has shown initiaves on that and has put ideas on the table too.

HII NI STRATEGY YANGU, JE YAKO NI IPI? ni mtazamo wangu.
 
Kuogopa ni kufeli kufeli ni kufa kiimani

Hapa ulicho zungumza uko sahihi

Shida ya biashara ni kuwa hata ukiwa na mke wako bado mnaweza kutofautia kimtazamo kiasi kwamba ukaona wazo lako lina kwama na mafanikio yana chelewa

Ukiona unafanya maamzi yaliyo na kigugumizi jua kabisa kufanikiwa mbele ya wazo lako ni ngumu

Maana ulisha kata tamaa mapema na unaona ni kama kuharibu muda wako

Kuacha kazi ni sehemu ya maamzi yasiyo na kigugumizi ni maamzi yanayo kupa nini kipo mbele na nitakitekeleza VIP

Muda mwingne ni ngumu kuamua kuliko kutekeleza
 
Nakubaliana na ww asilimia 100 mkuu.
Mimi ni miongoni ya watu walioplan kujitoa ktk huu utumwa. Kidole kimoja hakihui chawa hata mengi R.I.P asinge shirikiana na mkewe then asinge fika pale alipo na wengine pia. Watu wote waliofanikiwa sio kwamba walifuata ushari wa mwanamke ila mm naona sio kufuta ushari ila kama haiwezekani fuata ushauri ila unachukua mawazo yake unachanganya na yako. Kumbuka nibora kusikiliza mawazo ya mtu kuliko uyakataa kwasababu tu ni mwanamke.

Mfano embu tafakari hapo ulipo na mpango wako,
1. Uwache kazi ukajiajiri bila msaidizi kwenye biashara yako ukiwa single....how will you survive both emotionally(mtu wa karibu kushare nae changamoto na mawazo)........je uyo mtu wa karibu ni nani? Kaka, Dada, Rafiki au mwanake wako. Trust me, ushauri utakao pata kutoka kwa hawa watu ni tofauti na ushauri utao upata kutoka kwa mtu unae ishi nae maana unajua ups and downs unazo pitia.

2.Uwendelee na kazi na bishara ukiwa pembeni uki saidiwa kwenye biashara na rafiki, kaka, dada, ndugu yoyote au mwenza wako unaeishi nae?
3.Ila si ilimradi mwenza maana kuna wadada wengine hawana mitazamo ya maisha na wanasubiria kupewa na hawajiongezi ndo maana kuna umuhimu sana ukajua akili ya mwenza wako iko vipi maana yeye ndie aneweza kuwa sababu mainuka au kuanguka.
4. Pia tunapoaana jambo ni gumu kutekeleza mara nyingi jambo ilo huleta mafanikio. Jambo rahizi mara nyingi huleta madhara.
5. Mimi sijaoa ila nina mpenzi na huwa tunazungumza mengi sana lakini kama mwanaume lazma taa yako iwake kwa maana do not put all eggs in ane basket(usiweke mayai yote kwenye kapu moja) au do not test the depth of a river with both feet(usipime kina cha mto kwa miguu miwili bali mmoja) pia kwa maana taa yako iwake ni kwamba usiweke too much expectations always expect the best and get ready for the worst ili tu usivunjike moyo. Ila hata kama mawazo yako hayaendani na ya shemeji ndo maana ya majadiliano hata kama mtajadiliana ndani ya wiki ni kwamba wote mnatafuta common ground ambapo mtapambana kwa udi na uvumba kwa pamoja juu ya jambo lenu ila inapotokea maamuzi yaka egemea upande wako tuu basi hakikisha yale machache yake unayachukua nau pia una muusisha kwenye mambo kadhaa ili aendelee kukushauri.

Ila yote 9, hata kama ni mshikaji unafanya nae biznes basi mwenza wako lazma ukushauri na kukufungua kwenye baadhi ya vitu japo kufuata na kutofuata ushauri ni open choice.
 
Biashara ni nzuri lakini inahitaji nidhamu kubwa sana labda kuliko ya kuajiriwa,nidhamu ya matumizi ya pesa kwenye nyanja ambazo si za biashara mfano mtu akiumwa au kufariki hutakiwi kutoa katika mtaji la sivyo wakifa 3 biashara itaelekea pabaya na vile vile inategemea ni aina gani ya biashara .
Kuna biashara zinategemea uwanja wa biashara, na kama je hamna faulo kwenye huo uwanja, kila kitu kinakwenda kwa haki?Mfano mzuri ni ni biashara ya genge, haina malipo kwa TRA, watu hawajui ni biashara nzuri kwa sababu hamna binadamu anapika bila kwenda gengeni, jirani yangu ana nyumba safi na biashara yake kubwa ilikuwa genge. Wengi tumesikia wafanya biashara wakubwa wanaofungwa kwa kukwepa kodi, kwa hiyo hata kama palikuwa na fursa hiyo sehemu lakini wewe ukawa unalipa kodi yeye halipi, huwezi kufanikiwa kama yuko karibu na wewe au anakwenda unakokwendaga kuomba biashara.
Tabia zetu wa TZ tunajuana, kuna biashara mpaka sasa huipati bila kutoa kiasi fulani cha kuisukuma, kwa kifupi mimi naona inabidi kutumia fursa/nafasi iliyopo lakini kwa ukaribu sana ukiangalia sana risk iliyopo kwenye hiyo biashara.

Kweli kabisa. Ila were there is risk, there is success. Pia tumekuwa ni watu wa kupenda kusikiliza mawazo ya watu wengine tu na baadae hatufanyi research. Kujirizisha kuwa sasa kuwa research yng hii,hapa nipo tayari naelewa hii bishara. Pia je uyo biashara unayofanya je una passion ya kuifanya au ndo yale kwamba changamoto kidogo umefunga biashara na kufanya ingine. Msimamo ni kitu muhimu sana na pesa ya bishara ni ya biashara sio inatoka nakununua mahitaji mengine. Ila pia kumbuka kwenye biashara unatakiwa kujilipa sio unakuwa mtumwa wa biashara yako.

Wengi tunafanyia pesa kazi na sio kwamba pesa zinatufanyia kazi.
 
Hakuna kazi ambayo ni bora kuliko aliejiajiri
Ajira nyingi zinamasimango, muda huo huo unatumia muda mwing (almost sku nzima) kuendeleza kampuni ya mtu

Ndio sio watu wote tujiajiri, waajiriwa tuwaachie watu Facebook na Instagram
Jf we are great thinkers[emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Mkuu hujaelewa kilichomaanishwa hapo.
Hatujasema waliopanga hawafanyi biashara.
Kilichomaanishwa hapo ni kwamba Kama Bado umeajiriwa ni vema kujenga nyumba yako ili utakapoacha kazi uepuke manyanyaso kwenye kipindi hicho kigumu.
Mfano mzur mm nimeachishwa kazi Sasa hivi nimetulia kwangu hela ndogo ndogo za kula hazinipigi chenga.
Lakini nawaza ingekuwa nimepanga halaf kodi standard karibu milioni 2 kwa miezi 6,je ningefanyaje?si lazima ningedhalilika kwa wenye nyumba?

Asee wazo zuri sana ilo mkuu.
 
Nakubaliana na ww asilimia 100 mkuu.
Mimi ni miongoni ya watu walioplan kujitoa ktk huu utumwa. Kidole kimoja hakihui chawa hata mengi R.I.P asinge shirikiana na mkewe then asinge fika pale alipo na wengine pia. Watu wote waliofanikiwa sio kwamba walifuata ushari wa mwanamke ila mm naona sio kufuta ushari ila kama haiwezekani fuata ushauri ila unachukua mawazo yake unachanganya na yako. Kumbuka nibora kusikiliza mawazo ya mtu kuliko uyakataa kwasababu tu ni mwanamke.

Mfano embu tafakari hapo ulipo na mpango wako,
1. Uwache kazi ukajiajiri bila msaidizi kwenye biashara yako ukiwa single....how will you survive both emotionally(mtu wa karibu kushare nae changamoto na mawazo)........je uyo mtu wa karibu ni nani? Kaka, Dada, Rafiki au mwanake wako. Trust me, ushauri utakao pata kutoka kwa hawa watu ni tofauti na ushauri utao upata kutoka kwa mtu unae ishi nae maana unajua ups and downs unazo pitia.

2.Uwendelee na kazi na bishara ukiwa pembeni uki saidiwa kwenye biashara na rafiki, kaka, dada, ndugu yoyote au mwenza wako unaeishi nae?
3.Ila si ilimradi mwenza maana kuna wadada wengine hawana mitazamo ya maisha na wanasubiria kupewa na hawajiongezi ndo maana kuna umuhimu sana ukajua akili ya mwenza wako iko vipi maana yeye ndie aneweza kuwa sababu mainuka au kuanguka.
4. Pia tunapoaana jambo ni gumu kutekeleza mara nyingi jambo ilo huleta mafanikio. Jambo rahizi mara nyingi huleta madhara.
5. Mimi sijaoa ila nina mpenzi na huwa tunazungumza mengi sana lakini kama mwanaume lazma taa yako iwake kwa maana do not put all eggs in ane basket(usiweke mayai yote kwenye kapu moja) au do not test the depth of a river with both feet(usipime kina cha mto kwa miguu miwili bali mmoja) pia kwa maana taa yako iwake ni kwamba usiweke too much expectations always expect the best and get ready for the worst ili tu usivunjike moyo. Ila hata kama mawazo yako hayaendani na ya shemeji ndo maana ya majadiliano hata kama mtajadiliana ndani ya wiki ni kwamba wote mnatafuta common ground ambapo mtapambana kwa udi na uvumba kwa pamoja juu ya jambo lenu ila inapotokea maamuzi yaka egemea upande wako tuu basi hakikisha yale machache yake unayachukua nau pia una muusisha kwenye mambo kadhaa ili aendelee kukushauri.

Ila yote 9, hata kama ni mshikaji unafanya nae biznes basi mwenza wako lazma ukushauri na kukufungua kwenye baadhi ya vitu japo kufuata na kutofuata ushauri ni open choice.
Mkuu ninacho kiamini ni kuwa biashara ni hisia na msukumo ulio ndani ya mtu na kuutoa nje kimawazo na kulifanya kwa vitendo

Mwanamke ni kiungo mhimu katika mipango yako ila usifanye kuwa msahauri mkuu wa mawazo na imani uliyo jenga juu ya maisha na mafanikio yako

Kama huna mke unapaswa kuwa makin sana na mwanamke unae mshirikisha katika mikakati yako

Mimi wakati nataka kuacha kazi nilimshirikisha mpenzi wangu jibu lake lilinifanya nifikirie Mara kadhaa na kurudu kutafakari kwanini naacha kazi na kwanini ni siache kazi

Jibu nililo pata ilikuwa lazima niache kazi ili nifanikishe mipango yangu na maisha yangu na mahitaji ya nafsi yangu

Niliamua kuachana nae kwa kuwa kuacha kwangu kazi ili kuwa kama yeye kukosa Huduma toka kwangu

Nilienda kujipanga na kuaendeleza miradi yangu na kufikia mradi ulio sitawi na kuwa imara zaidi na kunifanya kuonekana kijana nianae weza kufanya jambo katika jamii na kubaki kuwa kioo kwa wengine

Amini katika kupaeana mawazo na kushauriana tunaweza kukubaliana ili kuondoa ubishi ila sio kuwa wazo lako lina faida kwake

Jipe muda wa kufanya maamuzi ukiwa kama dereva wa maisha na si kusubiri ushauri wa abiria ndio uutendee kazi
 
Hakuna kazi ambayo ni bora kuliko aliejiajiri
Ajira nyingi zinamasimango, muda huo huo unatumia muda mwing (almost sku nzima) kuendeleza kampuni ya mtu

Ndio sio watu wote tujiajiri, waajiriwa tuwaachie watu Facebook na Instagram
Jf we are great thinkers[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Kujiari kuna changamoto

Kunahitaji mtu unae jitoa kwa asilimia 100

Na hakuhitaji kujiona bora kuliko Fulani
 
Back
Top Bottom