Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Binafsi nimepanga kuacha kazi 2020 (doctor)

Sababu

Uhuru sina na kama upo ni finyu sana.
Waajiriwa wengi ni maskini sana ,wanaishi maisha ya hovyo na mawazo ni finyu sana,hawana muda wa kupata mentors wa kuwapatia elimu ya biashara au vitu vya kufanya ili kupata kipato.

Nimeamua kufanya haya before sijaacha.

Now nipo na hekari 22.5 za Miti aina ya paini nahitaji zifike hekari 100 by 2020.

Then nashukua mkopo mrefu na kuacha kazi.

Nawasilisha.
Kwa kweli nimesoma comment nyingi wewe umeeleza njia hongera kweli umejiandaa kuacha kazi.
Kuna mwalimu mmoja alikuwa na maono hayo huku morogoro ingawa hakuacha kazi lakini mradi wa miti unamlipa sana.
 
Kujiajiri kunawezekana kabisa. Tofauti ya kuajiriwa na kujiajiri ni kwamba kuajiriwa unalipwa mshahara na wote ni malipo ya faida.. Kujiajiri, faida kuipata ni changamoto. Je.. unafikiri utakuwa na kitu ambacho watu watakitaka na kitakupa faida kubwa? Bado kuna kodi, Brela nk? Kama unalipwa shs millioni 1, ni biashara gani itakupa hiyo faida chap chap?

Nashauri MSIACHE KAZI KWANZA. JARIBUNI KITU KWANZA. Unaweza kabisa kufanya biashara huku ukiwa umeajiriwa. Faida ikiongezeka.. ndio mtu unaacha kazi.
 
Mkuu kuacha kazi ni hatua ya kawaida

Shida sio million moja au mbili

Kujiari kunaweza kukuingizia hata laki saba na usiwe na deni na mtu

Ila kazini unaweza kuwa na madeni kama vile we ndio mrija wa kutolea hela

Kuna biashara zinalipa kutokana na ubunifu wako tu
 
Kama kazi yako itahitaji eneo la kudumu tafuta eneo lako husiache kazi ukafanyie biashara kwa watu, wakiona unapata kodi lazima ipande au utanyanganyw
 
Mkuu ninacho kiamini ni kuwa biashara ni hisia na msukumo ulio ndani ya mtu na kuutoa nje kimawazo na kulifanya kwa vitendo

Mwanamke ni kiungo mhimu katika mipango yako ila usifanye kuwa msahauri mkuu wa mawazo na imani uliyo jenga juu ya maisha na mafanikio yako

Kama huna mke unapaswa kuwa makin sana na mwanamke unae mshirikisha katika mikakati yako

Mimi wakati nataka kuacha kazi nilimshirikisha mpenzi wangu jibu lake lilinifanya nifikirie Mara kadhaa na kurudu kutafakari kwanini naacha kazi na kwanini ni siache kazi

Jibu nililo pata ilikuwa lazima niache kazi ili nifanikishe mipango yangu na maisha yangu na mahitaji ya nafsi yangu

Niliamua kuachana nae kwa kuwa kuacha kwangu kazi ili kuwa kama yeye kukosa Huduma toka kwangu

Nilienda kujipanga na kuaendeleza miradi yangu na kufikia mradi ulio sitawi na kuwa imara zaidi na kunifanya kuonekana kijana nianae weza kufanya jambo katika jamii na kubaki kuwa kioo kwa wengine

Amini katika kupaeana mawazo na kushauriana tunaweza kukubaliana ili kuondoa ubishi ila sio kuwa wazo lako lina faida kwake

Jipe muda wa kufanya maamuzi ukiwa kama dereva wa maisha na si kusubiri ushauri wa abiria ndio uutendee kazi

Nakubaliana ww mkuu sana na njia uliyochukua ilikuwa ni sahihi asili mia 100. Ukisha ona mwenza wako anakutalia kitu kwa personal ishu zake mfano kuacha kazi kwakuwa atakosa huduma huyo sio mtu sahihi kwa maana huyo ni parasite. Ina maana kwamba yeye yuko kimasilai au yeye ni abiria tu kwenye safari yako badala ya yeye kuwa dereva msaidizi, konda au hata tanboy. Haya ndo makosa ya wadada zetu siku hizi na sis kama madereva nikuwashusa na kuendelea na safari. Huwa nashangaa sana alafu ukifanikiwa ndipo anaanza kujisogeza hawa ndo watu ninao wapiga vita kwa maana hata baba wa familia napo tangulia mbele za haki na akabaki mwanamke wa namna hiyo asilimia kubwa huwa familia zao huteseka kwa maana hakuwa na vision wala msukumo na hata elimu pengine. So ni muhimu kuwa na mwenza alienda hata kidato cha 4.

Msishangae kwanini mwanamke yupo kwenye hii mada na kwanini ninamuweka. Ni kwasababu mwanamke anamchango wake na mara nyingi anakuwepo pembeni pale kunako mafanikio ila pia yeye ni part of the equation kwa maana asipoenda kwa mahesabu, asipo kuwa na busara, asipo kuwa malkia wa ngome yake, asipo kuwa mke na asipo kuwa na vision ya kukuza familia yake economic wise na mwanamme wake then huyo ni kumtoa kwenye equation haraka sana maana 1 + 0=1 sio 2
 
Nakubaliana ww mkuu sana na njia uliyochukua ilikuwa ni sahihi asili mia 100. Ukisha ona mwenza wako anakutalia kitu kwa personal ishu zake mfano kuacha kazi kwakuwa atakosa huduma huyo sio mtu sahihi kwa maana huyo ni parasite. Ina maana kwamba yeye yuko kimasilai au yeye ni abiria tu kwenye safari yako badala ya yeye kuwa dereva msaidizi, konda au hata tanboy. Haya ndo makosa ya wadada zetu siku hizi na sis kama madereva nikuwashusa na kuendelea na safari. Huwa nashangaa sana alafu ukifanikiwa ndipo anaanza kujisogeza hawa ndo watu ninao wapiga vita kwa maana hata baba wa familia napo tangulia mbele za haki na akabaki mwanamke wa namna hiyo asilimia kubwa huwa familia zao huteseka kwa maana hakuwa na vision wala msukumo na hata elimu pengine. So ni muhimu kuwa na mwenza alienda hata kidato cha 4.
Kuwa na mke alienda shule sio kigezo cha kufanikiwa

Na kuwa na mwanamke wa elimu ya kawaida napo pia sio kufanikiwa

Inatakiwa upate mwanamke anae kuwa na akili ya ziada

Ukiona mizinguo panga ramani zako mwenyewe songa mbele
 
Kujiajiri kunawezekana kabisa. Tofauti ya kuajiriwa na kujiajiri ni kwamba kuajiriwa unalipwa mshahara na wote ni malipo ya faida.. Kujiajiri, faida kuipata ni changamoto. Je.. unafikiri utakuwa na kitu ambacho watu watakitaka na kitakupa faida kubwa? Bado kuna kodi, Brela nk? Kama unalipwa shs millioni 1, ni biashara gani itakupa hiyo faida chap chap?

Nashauri MSIACHE KAZI KWANZA. JARIBUNI KITU KWANZA. Unaweza kabisa kufanya biashara huku ukiwa umeajiriwa. Faida ikiongezeka.. ndio mtu unaacha kazi.
Sasa hio laki saba utaipata mara tu ukifungua biashara mkuu? Ukiacha kazi hakikisha una hela ya kukizi mahitaji yako kwa mwaka mzima na mtaji juu yake. Manake uwe na mraji na pia uwe na hela kando ya mahitaji binafsi. Kama una familia, pia hivyo hivyo. Faida kupatikana hata ya laki 7 inachukua muda mkuu.
 
Mkuu unajua ukitaka kujiajiri tatizo sio hela

Hebu fikiria umefukuzwa kazi utaishije?

Kuna wakati tunga mtihani wenye majibu magumu ili uumize kichwa

Ukiogopa kwa kuwa huna hela za kulea familia na kuanzisha biashara unajikuta umekuwa mpenzi msikilizaji wa mafanikio ya wengne
 
Nakubaliana na ww asilimia 100 mkuu.
Mimi ni miongoni ya watu walioplan kujitoa ktk huu utumwa. Kidole kimoja hakihui chawa hata mengi R.I.P asinge shirikiana na mkewe then asinge fika pale alipo na wengine pia. Watu wote waliofanikiwa sio kwamba walifuata ushari wa mwanamke ila mm naona sio kufuta ushari ila kama haiwezekani fuata ushauri ila unachukua mawazo yake unachanganya na yako. Kumbuka nibora kusikiliza mawazo ya mtu kuliko uyakataa kwasababu tu ni mwanamke.

Mfano embu tafakari hapo ulipo na mpango wako,
1. Uwache kazi ukajiajiri bila msaidizi kwenye biashara yako ukiwa single....how will you survive both emotionally(mtu wa karibu kushare nae changamoto na mawazo)........je uyo mtu wa karibu ni nani? Kaka, Dada, Rafiki au mwanake wako. Trust me, ushauri utakao pata kutoka kwa hawa watu ni tofauti na ushauri utao upata kutoka kwa mtu unae ishi nae maana unajua ups and downs unazo pitia.

2.Uwendelee na kazi na bishara ukiwa pembeni uki saidiwa kwenye biashara na rafiki, kaka, dada, ndugu yoyote au mwenza wako unaeishi nae?
3.Ila si ilimradi mwenza maana kuna wadada wengine hawana mitazamo ya maisha na wanasubiria kupewa na hawajiongezi ndo maana kuna umuhimu sana ukajua akili ya mwenza wako iko vipi maana yeye ndie aneweza kuwa sababu mainuka au kuanguka.
4. Pia tunapoaana jambo ni gumu kutekeleza mara nyingi jambo ilo huleta mafanikio. Jambo rahizi mara nyingi huleta madhara.
5. Mimi sijaoa ila nina mpenzi na huwa tunazungumza mengi sana lakini kama mwanaume lazma taa yako iwake kwa maana do not put all eggs in ane basket(usiweke mayai yote kwenye kapu moja) au do not test the depth of a river with both feet(usipime kina cha mto kwa miguu miwili bali mmoja) pia kwa maana taa yako iwake ni kwamba usiweke too much expectations always expect the best and get ready for the worst ili tu usivunjike moyo. Ila hata kama mawazo yako hayaendani na ya shemeji ndo maana ya majadiliano hata kama mtajadiliana ndani ya wiki ni kwamba wote mnatafuta common ground ambapo mtapambana kwa udi na uvumba kwa pamoja juu ya jambo lenu ila inapotokea maamuzi yaka egemea upande wako tuu basi hakikisha yale machache yake unayachukua nau pia una muusisha kwenye mambo kadhaa ili aendelee kukushauri.

Ila yote 9, hata kama ni mshikaji unafanya nae biznes basi mwenza wako lazma ukushauri na kukufungua kwenye baadhi ya vitu japo kufuata na kutofuata ushauri ni open choice.
Hongera mkuu, moyo wako umejaa ufahamu.
 
Mkuu ninacho kiamini ni kuwa biashara ni hisia na msukumo ulio ndani ya mtu na kuutoa nje kimawazo na kulifanya kwa vitendo

Mwanamke ni kiungo mhimu katika mipango yako ila usifanye kuwa msahauri mkuu wa mawazo na imani uliyo jenga juu ya maisha na mafanikio yako

Kama huna mke unapaswa kuwa makin sana na mwanamke unae mshirikisha katika mikakati yako

Mimi wakati nataka kuacha kazi nilimshirikisha mpenzi wangu jibu lake lilinifanya nifikirie Mara kadhaa na kurudu kutafakari kwanini naacha kazi na kwanini ni siache kazi

Jibu nililo pata ilikuwa lazima niache kazi ili nifanikishe mipango yangu na maisha yangu na mahitaji ya nafsi yangu

Niliamua kuachana nae kwa kuwa kuacha kwangu kazi ili kuwa kama yeye kukosa Huduma toka kwangu

Nilienda kujipanga na kuaendeleza miradi yangu na kufikia mradi ulio sitawi na kuwa imara zaidi na kunifanya kuonekana kijana nianae weza kufanya jambo katika jamii na kubaki kuwa kioo kwa wengine

Amini katika kupaeana mawazo na kushauriana tunaweza kukubaliana ili kuondoa ubishi ila sio kuwa wazo lako lina faida kwake

Jipe muda wa kufanya maamuzi ukiwa kama dereva wa maisha na si kusubiri ushauri wa abiria ndio uutendee kazi
Duuh ujumbe mzuri sana huu, ubarikiwe mkuu
 
M
Pamoja mkuu

Karibu kujiari
Mkuu USIDANGANYIKE.. Bila ya mtaji, hauna biashara. Narudia.. USIDANGANYIKE. Hata kama hauna hela yako binafsi, lazima uipate benki, kwa ndugu n.k. Fikiria hili.. unaanzisha biashara na tayari una wapinzani ambao wana biashara kama yako inaendelea.. kuna njia gani ya kuboresha huduma au bidhaa pasipo kuwa na mtaji? Ukifikiria utaweza bila hela..UTASHINDWA. Utakuwa na biashara yenye value ndogo, na wateja wapya kuwapata lazima uwe na biashara yenye value ambayo inaweza kushindana na zile za washindani. Na value ya biashara inaenda sambamba na mtaji ulio nao. Unafikiri utauza maneno matamu bila matendo na bidhaa na huduma bora?

MIMI NINA UJUZI SANA NA BIASHARA MKUU. Naona weee unaongelea kupitia vile vitabu vyenu vya ujasirismali mnavisomaga. Na vinawadanganya tu. Poleni sana.
 
Pamoja mkuu

Karibu kujiari
Mkuu unajua ukitaka kujiajiri tatizo sio hela

Hebu fikiria umefukuzwa kazi utaishije?

Kuna wakati tunga mtihani wenye majibu magumu ili uumize kichwa

Ukiogopa kwa kuwa huna hela za kulea familia na kuanzisha biashara unajikuta umekuwa mpenzi msikilizaji wa mafanikio ya wengne
Mkuu USIDANGANYIKE.. Bila ya mtaji, hauna biashara. Narudia.. USIDANGANYIKE. Hata kama hauna hela yako binafsi, lazima uipate benki, kwa ndugu n.k. Fikiria hili.. unaanzisha biashara na tayari una wapinzani ambao wana biashara kama yako inaendelea.. kuna njia gani ya kuboresha huduma au bidhaa pasipo kuwa na mtaji? Ukifikiria utaweza bila hela..UTASHINDWA. Utakuwa na biashara yenye value ndogo, na wateja wapya kuwapata lazima uwe na biashara yenye value ambayo inaweza kushindana na zile za washindani. Na value ya biashara inaenda sambamba na mtaji ulio nao. Unafikiri utauza maneno matamu bila matendo na bidhaa na huduma bora?

MIMI NINA UJUZI SANA NA BIASHARA MKUU. Naona weee unaongelea kupitia vile vitabu vyenu vya ujasirismali mnavisomaga. Na vinawadanganya tu. Poleni sana.
 
Pamoja mkuu

Karibu kujiari
Mkuu unajua ukitaka kujiajiri tatizo sio hela

Hebu fikiria umefukuzwa kazi utaishije?

Kuna wakati tunga mtihani wenye majibu magumu ili uumize kichwa

Ukiogopa kwa kuwa huna hela za kulea familia na kuanzisha biashara unajikuta umekuwa mpenzi msikilizaji wa mafanikio ya wengne
Ukifukuzwa kazi.. sio kwamba utalisha familia maneno au hewa. Utatafuta hela kwa hali na mali ya kulisha familia. Na itakuwa ni mbinde kubwa.

Sasa NI KWA NINI USIJIANDAE KABISA BADALA YA KUSUBIRI HIYO MBINDE IJE? Ni kwa nini usiweke mambo sawa kimtaji ili kupunguza hayo matatizo? Kuacha tu kazi wakati hauna mtaji hata asilimia fulani ni KUKOSA MIPANGO. Na pasipo mipango mizuri, BIASHARA HAIFANIKIWI Mkuu.
 
Kama kazi yako itahitaji eneo la kudumu tafuta eneo lako husiache kazi ukafanyie biashara kwa watu, wakiona unapata kodi lazima ipande au utanyanganyw
Kabisa. Personally kujenga majengo ya biashara kulisaidia sana. Ni baada ya kunyanyaswa na mtu mara ya kwanza. In business inaitwa vertical integration. Personally nafanya tours, nimejenga lodge na ofisi binafsi. Magari nilianza kukodi, nikanyanyaswa pia. Sasa nina magari machache binafsi na nazidi kuongeza. Lengo ni kutokodi kabisa na kutumia vertical integration katika transport na lodging pia katika key areas
 
Kuwa na mke alienda shule sio kigezo cha kufanikiwa

Na kuwa na mwanamke wa elimu ya kawaida napo pia sio kufanikiwa

Inatakiwa upate mwanamke anae kuwa na akili ya ziada

Ukiona mizinguo panga ramani zako mwenyewe songa mbele
Wanawake asilimia kubwa hasa warembo tunaowapenda ni mizinguo leo. Mimi naona katika ujasiriamali kama mtu haujaoa, basi kaa hivyo hivyi kwanza. Pambana ufanikiwe ndio uoe. Na hata hapo, itakuwa ni kazi pia. Kwa ujumla NI MUHIMU KUPATA MSICHANA MWENYE MALENGO KAMA YAKO, MWENYE AKILI KAMA ZAKO, NA MOYO WA KUPAMBANA KAMA WAKO. Lakini kwa leo ni vigumu kumpata.

Wasichana wana gharama zao na sio za hela tu, hata za kukuchanganya akili ukashindwa kufocus katika kazi zako. Ila UKIPATA MZURI, sawa kabisa. Japo kwa leo ni kazi. Na wengine hata wanaua waume zao kama Msuya bilionea alivyofanyiwa. Kazi iko
 
Mkuu USIDANGANYIKE.. Bila ya mtaji, hauna biashara. Narudia.. USIDANGANYIKE. Hata kama hauna hela yako binafsi, lazima uipate benki, kwa ndugu n.k. Fikiria hili.. unaanzisha biashara na tayari una wapinzani ambao wana biashara kama yako inaendelea.. kuna njia gani ya kuboresha huduma au bidhaa pasipo kuwa na mtaji? Ukifikiria utaweza bila hela..UTASHINDWA. Utakuwa na biashara yenye value ndogo, na wateja wapya kuwapata lazima uwe na biashara yenye value ambayo inaweza kushindana na zile za washindani. Na value ya biashara inaenda sambamba na mtaji ulio nao. Unafikiri utauza maneno matamu bila matendo na bidhaa na huduma bora?

MIMI NINA UJUZI SANA NA BIASHARA MKUU. Naona weee unaongelea kupitia vile vitabu vyenu vya ujasirismali mnavisomaga. Na vinawadanganya tu. Poleni sana.
Fake.hauna uthubutu.
 
Kwa kweli nimesoma comment nyingi wewe umeeleza njia hongera kweli umejiandaa kuacha kazi.
Kuna mwalimu mmoja alikuwa na maono hayo huku morogoro ingawa hakuacha kazi lakini mradi wa miti unamlipa sana.
Safi karibu mapambanoni .Tusiogope all because life needs us to experience alot.

Aluta continua
 
Back
Top Bottom