Habari zenu wakuu..
Poleni na majukumu ya kupambana kulisaka tonge ,kijana wenu nakuja mbele zenu Kama kuomba ushauri na pia Kama kutafuta wateja, maana nishapata experience kiasi chake...
Issue ni kwamba baada ya kushindwa kuendelea na chuo nilichoamua Sasa nikutaka kufungua ofisi ambayo nitakua nawatafutia watu wa mikoani /dar bidhaa ambazo watakua wanaziitaji na kuzi transport mpaka itakapo mfikia mteja, na kwa wale wa dar mizigo nitakua naleta mwenyewe utakua tu unaniambia unaitaji kitu gani nimutafutie, mnaonaje wazo langu wakuu mambo mtaani magumu Sana nisaidieni katika hili....
Samahani kwa mwandiko wangu mbovu