Asante Sana ndugu umenipa nguvu SanaGood idea, weka jitihada ktk kujitangaza na fanya kwa uaminifu itakubeba pia andaa mtaji maana ni vigumu mtu kukutumia hela hlf hajui ukisepa atakupatia wapi ukizingatia hujasajiliwa, ktk chochote changamoto zipo kikubwa ni kuwa imara kukabiliana nazo
Kumbe nimewaza vizuri nduguWazo zuri sana
Uaminifu mkuu
Ukweli kwa mteja
Kuwa muwazi kama bidhaa hamna sema hamna,imeisha sema imeisha yani nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi.
Toa majibu ambayo una uhakika nayo hasa kwenye bei ya manunuzi na usafirishaji
Kuna wengine hawajui izo online marketing then wale wa online marketing wengi ni wazinguaji mkuu nitajitaidi kwa namna yangu pia napanga tuwe vijana ata wanne ,nawaza mbali Sana Kaka kufika ata nje ya Tanzania Mungu anisaidie tuUnawatafutia vipi? Make kwa sasa kuna Online store kibao watu wananunua Online na wanatumiwa Percel zao.
Je wewe unaweza vipi wa By pass Online stores?
pia kuna Makampuni ya kutuma percel mengi sana je wewe una utofauti gani na wao?
Idea inaweza kuwa nzuri sana ila Kwenye Implementation ikawa changamoto kubwa sana
Hahahahahahahaha sio mbaya mkuu vijana zinatakiwa kupambanaDah bonge la wazo, itabidi na mimi nifanye hii kazi samahani kwa kukuibia idea yako
Asante Mkuu kukuona kwenye uzi wangu ...... nakuonaga tu kwenye TV (nyuzi nyengin),[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la kheri
Assumption ya kuwa watu hawazijui online stores naona km uiondoe ila utafute idea ambayo itakua inautofauti na hzo online store zilizopo kias kwamba hata wanaozijua waone unafuu wa kukutumia wwKuna wengine hawajui izo online marketing then wale wa online marketing wengi ni wazinguaji mkuu nitajitaidi kwa namna yangu pia napanga tuwe vijana ata wanne ,nawaza mbali Sana Kaka kufika ata nje ya Tanzania Mungu anisaidie tu
wazo zuriHabari zenu wakuu..
Poleni na majukumu ya kupambana kulisaka tonge ,kijana wenu nakuja mbele zenu Kama kuomba ushauri na pia Kama kutafuta wateja, maana nishapata experience kiasi chake...
Issue ni kwamba baada ya kushindwa kuendelea na chuo nilichoamua Sasa nikutaka kufungua ofisi ambayo nitakua nawatafutia watu wa mikoani /dar bidhaa ambazo watakua wanaziitaji na kuzi transport mpaka itakapo mfikia mteja, na kwa wale wa dar mizigo nitakua naleta mwenyewe utakua tu unaniambia unaitaji kitu gani nimutafutie, mnaonaje wazo langu wakuu mambo mtaani magumu Sana nisaidieni katika hili....
Samahani kwa mwandiko wangu mbovu
Asante Mkuu kwa kunisahihisha mawazo yako muhimu sanaAssumption ya kuwa watu hawazijui online stores naona km uiondoe ila utafute idea ambayo itakua inautofauti na hzo online store zilizopo kias kwamba hata wanaozijua waone unafuu wa kukutumia ww
Sijakuelewa chiefWE NI MUONGO, Mi nimesoma imekuja "VUVIU
I'm now an EIA evaluatorMwambie aende NEMC wanatoa training za certification za EIA ambapo anaweza kufanya kazi km private evaluator wa mazingira