BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
salute mkuu. Nimekusoma vyema sana. Vp una muda gan kaziniMkuu sijajiandaa kihivyo,
Nimekuwa mjasiliamali kwa muda sasa nikiwa kazini,
Nimekuwa nikijihusisha na kilimo cha matunda lakini napata hasara sana,
Lakini hiyo hasara haitokani na ubovu w bidhaa la hasha ni usimamizi mbovu
Watu wengi nnao waamin mpaka leo ndo wengi wao wananiliza,
Kimahesabu kwa nikifanya kilimo kwa mara moja naweza pata pesa ya mshahara wa mwaka mzima,
Kwanini niendelee kubaki kazini wakati naona kuna sehemu naweza kupata pesa ya kutosha nzuri tu,