Sasa kusubiri kuvuna hiyo c uvumilivu tosha.Ukilima mahindi unakuwa mwanamke mvumilivu?? ๐
Si umesema Zambia na Congo?Namaanisha congo TRA yao focus kubwa ya mapato ni kwenye madini
Mxieeeeww ๐คฃ๐คฃ๐คฃSasa kusubiri kuvuna hiyo c uvumilivu tosha.
โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธMxieeeeww ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Congo ni kubwa maeneo yenye vita ni majimbo mawili tuSi umesema Zambia na Congo?
Unaweza kuishi Kongo? Kule ni Gaza ya Africa ohhh.!!
๐คญ๐โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Na hayo majimbo ndo yenye pesa, huko kwingine labda ukajifunze kunenguaCongo ni kubwa maeneo yenye vita ni majimbo mawili tu
๐คฃ๐คฃ๐คฃdah kunengua...nikachape miuno ya fally ipupa!Na hayo majimbo ndo yenye pesa, huko kwingine labda ukajifunze kunengua
Sasa je? ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃdah kunengua...nikachape miuno ya fally ipupa!
Kuna madini mengi ndiyo lkn ukienda kibiashara si naenda Kinshasa (dar ya Congo)
Twende congo sasa ๐๐tukifeli ni mwendo wa yopeSasa je? ๐๐
๐ Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.Na hayo majimbo ndo yenye pesa, huko kwingine labda ukajifunze kunengua
Kumbe ma Engineer nao wanakosa ajira?Engineer unsjitolea miaka 4 kwa malipo ya laki 3 na nusu una akili kichwani?
Nenda kapokee midola huko South Africa
Kongo ya kkoo inanitosha, masikio yangu yamezoea sauti za ATM MACHINE sio MITUTU YA SMG ๐๐๐Twende congo sasa ๐๐tukifeli ni mwendo wa yope
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hiyo ni Gaza ohh๐ Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.
Nenda mkoa wowote kapoe kama wiki hv aiseee kimtindo maisha nje ya dar matamu utulivu mwingi, hali ya hewa safi, green ya maana, hamna foleni na mabinti hawana mambo mengi ww tu..... ila Sasa shida ya huko hela hamnaaaKongo ya kkoo inanitosha, masikio yangu yamezoea sauti za ATM MACHINE sio MITUTU YA SMG ๐๐๐
Alikua hataki kufanya kazi na wewe๐Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki๐ Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.
๐คฃ๐คฃ๐คฃAlikua hataki kufanya kazi na wewe๐Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki
Daah Burundi si bora umwambie aende Njombe pana mzunguko wa pesa kuliko Burundi..Ukatafute pesa