Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sasa kusubiri kuvuna hiyo c uvumilivu tosha.Ukilima mahindi unakuwa mwanamke mvumilivu?? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kusubiri kuvuna hiyo c uvumilivu tosha.Ukilima mahindi unakuwa mwanamke mvumilivu?? 😂
Si umesema Zambia na Congo?Namaanisha congo TRA yao focus kubwa ya mapato ni kwenye madini
Mxieeeeww 🤣🤣🤣Sasa kusubiri kuvuna hiyo c uvumilivu tosha.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Mxieeeeww 🤣🤣🤣
Congo ni kubwa maeneo yenye vita ni majimbo mawili tuSi umesema Zambia na Congo?
Unaweza kuishi Kongo? Kule ni Gaza ya Africa ohhh.!!
🤭😉❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Na hayo majimbo ndo yenye pesa, huko kwingine labda ukajifunze kunenguaCongo ni kubwa maeneo yenye vita ni majimbo mawili tu
🤣🤣🤣dah kunengua...nikachape miuno ya fally ipupa!Na hayo majimbo ndo yenye pesa, huko kwingine labda ukajifunze kunengua
Sasa je? 😂😂🤣🤣🤣dah kunengua...nikachape miuno ya fally ipupa!
Kuna madini mengi ndiyo lkn ukienda kibiashara si naenda Kinshasa (dar ya Congo)
Twende congo sasa 😁😁tukifeli ni mwendo wa yopeSasa je? 😂😂
😄 Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.Na hayo majimbo ndo yenye pesa, huko kwingine labda ukajifunze kunengua
Kumbe ma Engineer nao wanakosa ajira?Engineer unsjitolea miaka 4 kwa malipo ya laki 3 na nusu una akili kichwani?
Nenda kapokee midola huko South Africa
Kongo ya kkoo inanitosha, masikio yangu yamezoea sauti za ATM MACHINE sio MITUTU YA SMG 😂😂😂Twende congo sasa 😁😁tukifeli ni mwendo wa yope
🤣🤣🤣🤣 hiyo ni Gaza ohh😄 Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.
Nenda mkoa wowote kapoe kama wiki hv aiseee kimtindo maisha nje ya dar matamu utulivu mwingi, hali ya hewa safi, green ya maana, hamna foleni na mabinti hawana mambo mengi ww tu..... ila Sasa shida ya huko hela hamnaaaKongo ya kkoo inanitosha, masikio yangu yamezoea sauti za ATM MACHINE sio MITUTU YA SMG 😂😂😂
Alikua hataki kufanya kazi na wewe😁Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki😄 Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.
🤣🤣🤣Alikua hataki kufanya kazi na wewe😁Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki
Daah Burundi si bora umwambie aende Njombe pana mzunguko wa pesa kuliko Burundi..Ukatafute pesa