Vijana wasomi msio na ajira maisha hayapo Bongo tu. Unaweza kuzamia nchi jirani ukaishi vizuri. Dunia yote ya Mola mipaka ipo ili kuleta utulivu

Umenena point sana mkuu. Ni sawa kabisa kabisa. Umekosea tu hapo kwamba wasiende ng'ambo ksbb ya upweke. Sisi tunatafuta kutoka mkuu. Upweke achana nao. Kwanza upweke utakuwa umeutoka tu mwenyewe. @leadmore alikuwa hajawahi kuwa mpweke huko ng'ambo
 
Na hayo majimbo ndo yenye pesa, huko kwingine labda ukajifunze kunengua
😄 Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.
 
🤣🤣🤣🤣 hiyo ni Gaza ohh
 
Kongo ya kkoo inanitosha, masikio yangu yamezoea sauti za ATM MACHINE sio MITUTU YA SMG 😂😂😂
Nenda mkoa wowote kapoe kama wiki hv aiseee kimtindo maisha nje ya dar matamu utulivu mwingi, hali ya hewa safi, green ya maana, hamna foleni na mabinti hawana mambo mengi ww tu..... ila Sasa shida ya huko hela hamnaaa
 
😄 Congo kote tu ni tia maji tiamaji kwenye suala la amani. Kuna rafiki yangu yuko Lubumbashi alikuwa akiniagiza vitu kkoo ila kuna wakati akanijulisha atasimama kuagiza vitu kwa sababu Lubumbashi ilikuwa kwenye tension ya machafuko au vita kabisa kutokea. Na kweli baada ya muda akaniambia baba yake aliwapeleka familia nzima nchi nyingine kusikilizia kwanza amani.
Alikua hataki kufanya kazi na wewe😁Mkongo akitaka kukukimbia anakwambia Tsekedi anasumbua security hamna, dollar imeadimika au mzigo haufiki
 
Pana jamaa angu anatoa Unga hapo Sumbawanga anapeleka Congo hapo Kasumbalesa anauza 30 usd kwa 25kg ila Wakongo wanataka unga ulio na chenga chenga sio kama wa huku kwetu tunasaga unakua Unga kabisaa...hii ni ya juzi maana nilikua nae pale Kapiri Mposhi kabla sijaanza safari ya kurudi Tanzania wao walikua wanapeleka Sembe DRC..
 
Back
Top Bottom