Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Hoja ya kuoa kurumbembe unaita hoja?
Sasa kama sio hoja uliiweka kwenye mada yako yanini, siinamaana hujui unachokiandika. Tumia akili chief, sasa unatuwekea hoja kwenye mada yako mwenyewe ambayo unaitaja tena sio hoja. Huoni kuwa hujui unachokitaka😂😂😂. Sasa kama sio hoja kilichokutuma uanzishe mada sasa ni nini, common sense is not common unajua. Acha shaming tactics chief, tumia hoja yakueleweka
 
Sasa kama hujiamini siuachane nao silazima msemezane nao. Yaani nyani haoni...... ,😂😂😂😂 wewe unamaex mia mwanamke asiwe nao wakati wewe mwenyewe ni mmoja wa maex. Yaani unakubali kushindwa kujiamini maamuzi yako kabisa na mwanamke😂😂😂. Halafu chief, nilishamwambia mwenzako changia hoja sio kuattack mtu, yaani very petty and childish ujue. Hunijui sikujui, hujui marital status yangu lakini unaniattack personal life yangu, kweli umekosa kabisa hoja ya msingi ya kujibu😂😂😂. Vijana mkue aisee, hivi unapataje nguvu ya kuhukumu mwenzako na kumpunish wakati wewe mwenyewe ni mtuhumiwa, jibu hoja chief, mkue. Unawaza anguko lako kabla hata hujaweka plan yako into motion sasa hilo ni tatizo lingine la psychologia boss
 
Kuna Watu wajinga Sana. Kwa hiyo Kwa Akili zako za kunguni unafikiri Bikra ndio kila kitu ndani ya Ndoa?

Uzuzu ni kipaji.
Hapa umeyumba kichwa!

Sifa zooote unazozijua wewe awe nazo mwanamke ila kwa mwanaume makini na mwelewa bikra siyo jambo la kuacha kuulizia hasa akitaka kuingia ktk ndoa.
 
Me nimeoa manzi niliyemtoa bikra na nina mwaka ndani ya ndoa hakuna kuwa na hofu na maex wala kulinganishwa nakula kitu na box, kitu mang'anyu[emoji39][emoji39][emoji39]
Naaam..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…