Comrade Liu Yang
Senior Member
- Aug 16, 2023
- 161
- 282
Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu.
Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi.
Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe salama.
Mshahara kwa mmoja ni 150,000
KAma nitapata DEIWAKA wa kulinda kwa siku mbili tatu hizi ninapoendelea tafuta walinzi wa kudumu pia Nitashukuru.
Mshahara wake per NIGHT ni 6000 usiku mmoja.
MAHITAJI YA KAZI :
Karibu
Mawasiliano : NIPO ONLINE PM
Ni TAg Popote nitajibu.

BARUA YAKO YA UTAMBULISHO TOKA SERIKALI YA MTAA
MDHAMINI WALAU MMOJA ANAEKUJUA HATA UKIFA GHAFLA TUMPE MWILI WAKO AUPELEKE KWENU.
Karibu
Mawasiliano : NIPO ONLINE PM
Ni TAg Popote nitajibu.