Vijana Wawili kwa ajili ya Kazi ya Ulinzi Dar

Vijana Wawili kwa ajili ya Kazi ya Ulinzi Dar

Mkuu Moisemusajiografii mbona umeuvalia njuga uzi wa mwenzio?

Acha wanaoweza kwenda waende,ajira ngumu...hiyo 150K kuna mtu anawish sana kuipata kwa mwezi
Namchombeza aongeze dau."Miya hamusini" kwa leo hii ni ndogo ingawa naamini atawapata wahitaji wa kibarua.
NB;Asichukie.Mimi huwa ni chizi tu namchangamsha.Akinuna shauri yake.
 
Back
Top Bottom