Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

gabylovestech

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
20
Reaction score
50
Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar.

startup kubwa huanza na swali dogo.

Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa:
“Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?”
IMG_5227.jpeg

Mwaka 2015, waliamua kuacha corporate jobs.
Hawakuwa na background ya tech.
Lakini waliforce King wapindue meza kibisho

Walileta engineer ku-build version ya kwanza ya app.

Launch ya kwanza iliwapa Vinyozi 50 chaap.
Lakini… hakukuwa na traction.
– Wateja hawakudownload app
– Barbers walihisi system ni ngumu

– Haikuleta biashara mpya tena

Kwa lugha rahisi: MVP yao ilifeli.

Badala ya kuachana nayo wahuni wakaamua waBet tena
Waliwekeza ⅓ ya AKIBA zao kununua na kuendesha barbershop wao wenyewe.

Walijifunza:
– Foleni zinavyoharibu mood ya wateja
– Stress ya kulipa cash
– Back-office huezi control

Hands-on experience ndo ikawa TUSU lao.

Baada ya kujifunza kwenye ground, walifanya pivot.
Sasa Lengo haikuwa app tu.
Ilikuwa end-to-end system kwa barbershops:
– Booking
– POS & malipo online
– CRM
– Financial services

– Marketing tools

Kwa mara ya kwanza, barbers walipata full-stack solution.

Wateja walipenda instantly.
Vinyozi waliona:
– Wanapata mapato zaidi
– Wateja wanarudi
– Biashara inakuwa manageable kirahisi

Sasa “Squire” ikawa ready kwa scaling.

Lakini safari haikuwa Simpo.
Waligonga ukuta wa pesa mara tatu.

Walichomolewa mara mbili na ycombinator
Lakini hawakukata tamaa.

Mara ya tatu, wakakubaliwa.
Na hapo ndipo investors wakaanza kusikiliza.
Funding

– Wamelamba zaidi ya $120M secured
– Investors waliamini vision

– Annual revenue sasa > $10M

Kutoka barbershop ndogo → hadi SaaS empire / unicorn.

Somo kubwa kwa Techies na STARTUP FOUNDERS WETU BONGO:
👉 Idea rahisi ni easy ku-copy.

Lakini kuExecute + deep industry knowledge ndizo zinatengeneza products nzuri.

Waliingia ndani ya biashara wenyewe, wakaishi nayo, kisha wakajenga product inayoheshimu hiyo Biashara.
ACHA Mambo ya unaleta solution ya Kilimo unashinda Masaki, Solution ya Dawa wewe kutwa unashinda Clubs😂
 
View attachment 3457907

Mchongo
 
Back
Top Bottom