Washkaji wawili waliingia
KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa
IDEA ya Mamilioni ya Dollar.
startup kubwa huanza na swali dogo.
Kwa hawa wahuni wawili
Songe LaRon na
Dave Salvant, swali lilikuwa:
“Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na
Uber?”
View attachment 3457907
Mwaka 2015, waliamua kuacha corporate jobs.
Hawakuwa na background ya tech.
Lakini waliforce King wapindue meza kibisho
Walileta engineer ku-build version ya kwanza ya app.
Launch ya kwanza iliwapa Vinyozi
50 chaap.
Lakini… hakukuwa na traction.
–
Wateja hawakudownload app
– Barbers walihisi system ni ngumu
– Haikuleta biashara mpya tena
Kwa lugha rahisi:
MVP yao ilifeli.
Badala ya kuachana nayo wahuni wakaamua waBet tena
Waliwekeza ⅓ ya AKIBA zao kununua na kuendesha barbershop wao wenyewe.
Walijifunza:
– Foleni zinavyoharibu mood ya wateja
– Stress ya kulipa cash
– Back-office huezi control
Hands-on experience ndo ikawa
TUSU lao.
Baada ya kujifunza kwenye ground, walifanya pivot.
Sasa Lengo haikuwa app tu.
Ilikuwa end-to-end system kwa barbershops:
–
Booking
– POS & malipo online
– CRM
– Financial services
– Marketing tools
Kwa mara ya kwanza, barbers walipata full-stack solution.
Wateja walipenda instantly.
Vinyozi waliona:
– Wanapata mapato zaidi
– Wateja wanarudi
– Biashara inakuwa manageable kirahisi
Sasa “
Squire” ikawa ready kwa scaling.
Lakini safari haikuwa Simpo.
Waligonga ukuta wa pesa mara tatu.
Walichomolewa mara mbili na
ycombinator
Lakini hawakukata tamaa.
Mara ya tatu, wakakubaliwa.
Na hapo ndipo investors wakaanza kusikiliza.
Funding
–
Wamelamba zaidi ya $120M secured
– Investors waliamini vision
– Annual revenue sasa > $10M
Kutoka barbershop ndogo → hadi SaaS empire / unicorn.
Somo kubwa kwa Techies na STARTUP FOUNDERS WETU
BONGO:
👉 Idea rahisi ni easy ku-copy.
Lakini kuExecute + deep industry knowledge ndizo zinatengeneza products nzuri.
Waliingia ndani ya biashara wenyewe, wakaishi nayo, kisha wakajenga product inayoheshimu hiyo Biashara.
ACHA Mambo ya unaleta solution ya Kilimo unashinda Masaki, Solution ya Dawa wewe kutwa unashinda Clubs😂