Pre GE2025 Vijana Wazalendo Tanzania: Sisi ni waumini wa Demokrasia, tutachukua hatua kumlinda Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa ndio watakao ivuruga CCM wasipoangalia kwa jicho lingine.Hawa vijana badala ya kufanya kazi na kutuambia wana mikakati gani kuongeza pato la Taifa wao wamekuwa CHAWA Pro Max kivingine St*#d .Uchaguzi wa 2025 ukiisha wasipopewa madaraka CCM hawa ndio watakao ivuruga serikali na chama kwa kuwa sasa hivi vijana wetu badala ya kuwa busy na kazi ,uvumbuzi ,uzalishaji wako busy na kupiga porojo.Wakikosa tu CCM wanavuruga chama na wazee kwa taarifa yenu hawaachii ng'ooo ndo mtajua hamjui.Mkimwona mwanangu huko mniambie nije nimchape aisee
 
Magaidi wanajitangaza hadharani, kuna sheria inayowaruhusu kusema au kufanya wanayoyakusudia kuyafanya?

Na awamu hii itatuachia urithi wa ugaidi kama awamu ileee. Ikachafua hali ya hewa kula mkuranga,Ushirombo, Amboni na Dsm.

Hivi Rais zinakwamishwa na wakina nani zaidi ya wapigaji aliowateua mwenyewe ili wale kwa urefu wa kamba zao. !?

Nchi hii ina vyombo vya dola na sheria zake na Rais analindwa kama taasisi sio wahuni na machawa .
Mitandao ni sehemu ya watu kutoa hasira zao na dukuduku zao kwa watu waliokalia ofisi za umma kwa pesa nyingi za kuwatajirisha . Kama wanaogopa na hawapendi kusemwa vibaya basi wasinganganie viti kwa rushwa na wizi.

Muda uliopo sasa ni wa jino kwa jino hakuna mtu atakubali kutekwa kijinga kijinga na hawa magaidi wajinga kabisa wanavuruga nchi kwa sababu ya kukumbatia majizi.

Hawa wapumbavu wanajisahau kuwa ugaidi wao mwisho wake unakuaga mbaya sana.
 
Wakuu,

Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

====

View attachment 3149217

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.

Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
Hawa ndiyo watekaji
 
Chawa watamlinda akiwa icu Havana Cuba

Hata mwenda zake Kuna chawa akina musiba, ally hapi, makondo na sabaya walisema watamlinda
 
Watuondolee uchawa wao hapa, Rais anao ulinzi wa kumtosha hadi unamwagika, waache uvivu wafanye kazi wasitegemee kutupiwa makombo toka meza kuu kwa uchwa wao.
 
Wakuu,

Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

====

View attachment 3149217

Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.

Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
Upumbavu mtupu wameongea. Hawa ndiyo watekaji wakijua kuwa hawawezi kushitakiwa. Sura tumeziona tuwachuklie kuwa maadui popote wakionekane wasiachwe salama.
 
Back
Top Bottom