UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Hawa ndio watakao ivuruga CCM wasipoangalia kwa jicho lingine.Hawa vijana badala ya kufanya kazi na kutuambia wana mikakati gani kuongeza pato la Taifa wao wamekuwa CHAWA Pro Max kivingine St*#d .Uchaguzi wa 2025 ukiisha wasipopewa madaraka CCM hawa ndio watakao ivuruga serikali na chama kwa kuwa sasa hivi vijana wetu badala ya kuwa busy na kazi ,uvumbuzi ,uzalishaji wako busy na kupiga porojo.Wakikosa tu CCM wanavuruga chama na wazee kwa taarifa yenu hawaachii ng'ooo ndo mtajua hamjui.Mkimwona mwanangu huko mniambie nije nimchape aisee
