Magaidi wanajitangaza hadharani, kuna sheria inayowaruhusu kusema au kufanya wanayoyakusudia kuyafanya?
Hawa ndiyo watekajiWakuu,
Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi
====
View attachment 3149217
Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Faris Burhan akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam amesema kuwa wale wanaopanga kumkwamisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hawataweza.
Naye Fatma Hussein ameongeza kuwa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inaendelea kutekelezwa na Serikali ya awamu sita ni faida kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa sababu itaifanya Tanzania kupuga hatua zaidi kiuchumi.
Chawa watamlinda akiwa icu Havana CubaWakuu,

Upumbavu mtupu wameongea. Hawa ndiyo watekaji wakijua kuwa hawawezi kushitakiwa. Sura tumeziona tuwachuklie kuwa maadui popote wakionekane wasiachwe salama.Wakuu,