Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Double standard ni nini? Hapa iko wapi? Nina i force vipi?Unafosi DOUBLE STANDARD jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Double standard ni nini? Hapa iko wapi? Nina i force vipi?Unafosi DOUBLE STANDARD jamaa
Mkuu,Namba moja tuko pamoja kabisa.
Namba mbili ni ngumu kuelewana na watu kwasababu ya mitazamo tofauti na ndio jamii hiyo ilivyo.
Hata mimi nlitamani sana watu wasiijudge vibaya bangi ili vijana wasiitumie vibaya, ila jamii ishaamini bangi ni mbaya, inaleta uchizi, ukiitumia unakua mwizi, kibaka, jambazi nk ila sio kweli.
Vivyo hivyo kwa tattoo jamii ya hapa kwetu inaamini tattoo ni uhuni, kuibadili hiyo ifanyike kazi.
Kuna siku nilikuwa naanza kazi sehemu US, nikamkuta jamaa ana tattoo kama mwili mzima, tena zile za marangirangi.
Halafu jamaa mtu poa tu.
Alikuwa anafanya kazi za web design.
Nikasema huyu mtu atakuwa na kipaji sana cha mambo ya design, halafu anayapenda sana mpaka kaamua kuufanyia mwili wake wote design za tatoo.
Na waajiri wake wamemuelewa na kumuajiri kwa kipaji chake, bila kujali anavyoonekana.
Hili ni moja kati ya mambo yanayotuangusha Africa. Tunaangalia nje mtu anaonekanaje kuliko uwezo wa mtu.
Matokeo yake, tunaacha kuchukua watu wazuri wenye vipaji ambao wana tattoo, tunakuja kuchukua wezi wasiojua kazi wanaojua kuvaa suti nzuri.
Halafu, tukishindwa kuendelea, tunashangaa kwa nini hatuendelei
Hapo pia kuna kitu kingine muhinu sana umekitaja.Kwa wenzetu yes but inategemeana, mfano us army prohibits tattoos on the head, face, neck above the t-shirt collar, wrists or hands other than one ring tattoo per hand that must rest where a normal ring would
But ukienda Us marines ni almost impossible
Na nadhani kwa taasis za majeshi wana restriction
Nys ni youth service kama ilivyo JKT
Kwa taasis za kiraia nadhani restriction ndio kidogo. It depends na nchi
Kabisa ni kweli kabisa mkuu.Mkuu,
Unaelewa kuwa haya mazungumzo yetu tu, tunavyojibizana hapa JF, inawezekana kuna watu yanawafungua macho kuhusu mambo mengi?
Na hilo linafanya kwamba, tukiweza hata kuzungumza tu kutoka gia namba 1 ya hapo juu na kwenda gia namba 2, tutakuwa tushaanza ku normalize mambo mengine superficial kama tattoo?
Inawezekana kuna bosi anasoma hapa, baadaye kidogo atakutana na candidate mwenye tattoo kwenye interview, na pengine mazungumzo haya yakamfungua macho bosi aangalie vitu vya msingi zaidi, ujuzi, uadilifu etc, kutoka kwa candidate, kuliko kuishia kwenye tattoo tu?
Huoni kama ikiwa kuna chance ya watu kuelimika kidogo tu hapa, mazungumzo ya abstract kuangalia gia namba 2 yataweza kutufaa sana kuliko kuishia gia namba 1 tu na default shortcut ya ape like thinking kwamba "tattoo = bad" ?
Kuna siku nilikaa na dogo mmoja hapa, kazaliwa US. Nikawa namuelezea jinsi tulivyosoma shule Tanzania, discipline, mavazi, nywele.Kabisa ni kweli kabisa mkuu.
Tattoo uzuri wake sio kilevi, hakiathiri akili ya mtu kwa namna yoyote ile.
Tatizo ni hii Tanzania yetu ya ajabu mkuu.
Mfano mimi ilinichukua muda kidogo mpaka kuja kunyoa vile mimi napenda, utoto wangu nilikua nanyoa flat kitu ambacho nilikua sipendi kabisa ila ni shule ndio ililazimisha.
Kunyoa kunaaffect vipi akili ya mtoto?? Imagine shuleni hata kunyoa upara ilikatazwa!! Upara unaathiri vipi perfomance yako kama ndio style unayopenda??
Ukivaa suruali iliyokubana (modo) inachanwa hadharani, sasa hapo kinachoathiri perfomance ni kuchaniwa suruari hadharani au mimi kuvaa kitu ninachopenda.
Acha tu mkuu.Kuna siku nilikaa na dogo mmoja hapa, kazaliwa US. Nikawa namuelezea jinsi tulivyosoma shule Tanzania, discipline, mavazi, nywele.
Alikuwa na nywele dreads. Nikawa namwambia enzi zetu Tanzania mwalimu akikukuta na nywele kama hivi anakunyoa, halafu hakunyoi zote, anakunyoa mbele tu ukamalizie mwenyewe.
Akasema that is a gross violation of self expression. Yani mtoto mdogo anatetea haki zake za self expression.
Alikuwa anashangaa kila kitu. Kabla ya kufika kwenye nywele kwanza alikuwa anashangaa watu wamesomaje kwa kuvaa uniform bila kuchagua nguo zao wenyewe?
Yani nikiona kitu sikipendi tu wameachiwa shuleni, nasema "enzi zetu Africa ilikuwa huruhusiwi kufanya hivyo".
Na yeye anacheka anasema huo ukoloni ni moja ya sababu Afrika inashindwa kuendelea.
Naam.Acha tu mkuu.
Hamna kitu napenda kama nikiona mtoto mdogo anajiamini.
Sisi kwenye malezi yetu hatukupewa nafasi ya kujiamin, hatukuruhusiwa kua sisi, utajuaje kipaji chako huku unaishi maisha ya baba/mama yako na si yako.
Sasa hivi kidogo madogo wanahoji, japo bado changamoto ni kua kina baba wengi walilelewa kizamani, kumjibu anataka ila hajui amjibu nini.
Bila shaka huko mbele jamii yetu itabadili mitazamo mingi, japo inakuja na changamoto nyingi wapo watakaoimudu.
Tatoo ni sehemu ya utamaduni wa makabila mengi sana afrika ila sasaUmeongea kitu kizuri kuhusu kutoangalia external appearance ya mtu, ila kitu ambacho sikubaliani na wewe ni kutaka views/Norms zetu kama Africans ziwe sawa na wazungu(or maybe sijakuelewa nimekurupuka), hilo swala hapana mzee, angalia views zao zilipowafikisha, jamii zao zimeharibika, kutokuwa na clear-cut distinction between "Right" or "Wrong" ni mbaya sana.
Mtoto asikuogope, akuheshimu.Naam.
Mimi kwangu nimekataa mtoyo akiuliza kitu kumjibu jibu la "kwa sababu mini nimesema hivyo".
Kila kitu kinatakiwa kijibiwe kwa logical explanation, bila kutumia turufu ya "because I said so".
Jibu hili ni logical fallacy ya "argument for authority" na linajenga ukondoo sana.
Chungu kumezaSi umejinadi wewe Muafrika hutaki mambo ya kigeni?
Anzisha internet yako ya mabua uiendeshe kwa nishati ya togwa tukujue wewe kweli Muafrika hutaki mambo ya kigeni.
Na walioanzisha internet wako mashoga kibao kina Alan Turing huko. Kila unapotumia encryption kwenye internet unatumia teknolojia akiyoianzisha Alan Turing. Acha kutumia internet basi tukujue kweli hupendi mashoga.