Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Sawa mkuu,nimekukubali
 
Tena vijana wa sasa hivi ndiyo wanatanua na mali za urithi sasa watoto wao sijui itakuwa je siku za usoni? MJISAHIHISHE HAMJACHELEWA!!!!!!
Hapo ndipo pabaya,maana watoto wao watakosa vya kurithi.
 
Kwa kutishana huko sasa itafika watu wanakula bata huku anajiandalia sindano ya sumu, Uzee ukija akiona haelewi najifunga tu kuliko kuishi kwa mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…