Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Sio kuwekez kwenye uchumi tu, hata afya za miili yetu wakuu. Ukiusoma huu uzi vizuri utagundua wingi wa magonjwa yaliyotajwani magonjw ya mtindo wa tabia/maisha.

Vijana wengi wa sasa hatuianda kesho yetu kifedha na kiafya. Mtu anakunywa K-Vant siku 7 za wiki kila siku, hawazi akizeeka itakuwaje.
 
wengi wanasahau suala la ulaji wa afya,matunda na maji mengi hujenga afya
 
Mungu anataka sadaka,zaka,nk ibada ni kuwajali masikini yatima na wajane.
Kuwajali means kuwapa vitu utawapa Nini huna pesa, maandiko yanasema " usiende mikononi mwa Bwana mikono mitupu" means usiende kanisan bila sadaka.
Injili inataka pesa,kuwalisha watumishi wa altare kunataka pesa,Sasa utakwepaje pesa.
Si Ndio utumie akili uliyopewa,ponda kokoto,uza mama ntilie,kuwa konda,Lima,kuwa fundi nk wewe tuu na kujichanga kwako!
 
Sio kuwekez kwenye uchumi tu, hata afya za miili yetu wakuu. Ukiusoma huu uzi vizuri utagundua wingi wa magonjwa yaliyotajwani magonjw ya mtindo wa tabia/maisha.

Vijana wengi wa sasa hatuianda kesho yetu kifedha na kiafya. Mtu anakunywa K-Vant siku 7 za wiki kila siku, hawazi akizeeka itakuwaje.
Figo lazima zichemke!
 
Habari wanaJF,

Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana.

Wenye ufahamu mzuri walijiwekeza kwenye ardhi, biashara, mifugo, nyumba, nk. Sasa umri umesonga nayo magonjwa nyemelezi yamekuwa tatizo. Ukimpigia simu mwenzako, utasikia naumwa kisukari mara huyu, kansa, mara, huyu viungo vimechemka, mara pressure nk.

Shida inakuja pale hukuwekeza gharama za matibabu ziko juu hata marafiki huwaoni na hata ukiwaona nao wanachangamoto zao. Tulikuwa na msemo wa kijinga wa ''Uza Nyumba Jenga Heshima Bar. Nisiwachoshe, Ahsanteni kwa kunisikiliza.
wachache sana hawalijui hili, ila changamoto yao familia kubwa na ndugu wengi, ada za watoto, kodi ya nyumba, kuishi mbali na kazini, mikopo ya kausha damu, riba kubwa za mabenki na ukosefu wa vipaumbele. weasaidie kwenye hilo.
 
Hivi miaka 50 sindiyo umri wa akina Nape,January n.k?
Au ukiwa siyo mwanasiasa,uzee unakufika mapema?
Haukufiki mapema ni wewe tuu na mfumo wa maisha!Nina mdogo wangu anaonekana yeye ndie Mkubwa,wakati nimemzidi miaka kadhaa!
 
wachache sana hawalijui hili, ila changamoto yao familia kubwa na ndugu wengi, ada za watoto, kodi ya nyumba, kuishi mbali na kazini, mikopo ya kausha damu, riba kubwa za mabenki na ukosefu wa vipaumbele. weasaidie kwenye hilo.
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua,usemi huyu ni Hakika.Mungu kwanza mengine baadae.
 
Habari wanaJF,

Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana.

Wenye ufahamu mzuri walijiwekeza kwenye ardhi, biashara, mifugo, nyumba, nk. Sasa umri umesonga nayo magonjwa nyemelezi yamekuwa tatizo. Ukimpigia simu mwenzako, utasikia naumwa kisukari mara huyu, kansa, mara, huyu viungo vimechemka, mara pressure nk.

Shida inakuja pale hukuwekeza gharama za matibabu ziko juu hata marafiki huwaoni na hata ukiwaona nao wanachangamoto zao. Tulikuwa na msemo wa kijinga wa ''Uza Nyumba Jenga Heshima Bar. Nisiwachoshe, Ahsanteni kwa kunisikiliza.
It won't save any purpose ww somesha watoto tu
 
Sema ninyi vijana wa zamani ndo mmeweka misingi mibovu sana kwa nchi hii. Halafu elewa kwamba ninyi wa zamani mlikuwa mkimaliza shule direct kazini sio longolongo. Hadi enzi za Kikwete ajira za ualimu ilikuwa tu ni wewe usitake. Jinsi ya kuwashauri vijana waliohitimu baada ya Kikwete regime lazima iwe tofauti kidogo. Nina wadogo zangu wawili, mmoja ana degree ya ualimu mwingine Petroleum engineering na wote hawana ajira. Nikisema nikurupuke na kuwaona wazembe nitaharibu zaidi.
Dah kweli unaweza walaumu bure
 
Back
Top Bottom