Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
- #121
Kweli mdogo wangu,Tukiwa vijana miaka ya 1999,Kuna Mzee alikuwa anatushauri,tukawa tunamkimbia asitupe story za Fainali uzeeni!Sasa tupo hai na yeye yupo Hai,hadi Aibu!Kuna jamaa mpka Sasa anaishi kwao na hela alipata sana.Kujibana ujanani ni jambo zuri ila vishawishi navyo ni vingi sana,hii imewagharimu watu wengi sana,vijana hili ni somo msilidharau...