Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

Atataja majina yote!Mungu wangu,mama yangu,tata,baba,mama,jamani eeh,ahaa,ngulubhi,mulungu,kyala nk.
Anapigia simu kila akidhani kwakuw alimpa ofa ya pombe atamsaidia.

We toa ofa ya pombe na vyuku lakini wanakuchora tu.

Yaani huwezi kuwa ujachafua meza leo halafu kesho unaamka huna pesa ya umeme.

Then wale uliowapa pombe utegemee watakupa elfu kumi ya umeme never.

Usilaumu watu.
 
Na vijana wanaoendekeza uchawa kwa kuweka avatar ya mama Samia wajue fainali ni uzeeni
 
Na vijana wanaoendekeza uchawa kwa kuweka avatar ya mama Samia wajue fainali ni uzeeni
Wewe bwege mimi nina biashara zangu zinazonipatia kipato cha kutosha. Nina assets kadhaa ambazo zimeniondoa kwenye kundi la maskini. Sina uchawa wowote ndo maana hata PM nimefunga na kwenye nyuzi zangu siweki namba ya simu. Ninamsapoti Mama Samia kwa kupenda mwenyewe. Sihitaji chochote. Nahitaji tu uongozi mzuri na amani nchini.
 
Sawa mkuu, uko vizuri
 
Sawa mkuu,uko vizuri
Asante. Sio kila mtu anayesapoti Mama Samia ni chawa. Mkuu hata hawa vijana waliomaliza chuo miaka ya karibuni kuna baadhi wako vizuri hawajakaa na kujililia kwamba hakuna ajira. Mdogo wangu aliyemaliza ualimu alishtuka kabla hata ya kuhitimu na kuanza kilimo cha vitunguu. Alianzia chini sana kwa shamba dogo kama robo eka mwaka 2018. Sasa hivi katika umri wa miaka 23 anamalizia kujenga nyumba yake wakati kuna kaka zake wakubwa wengi tu hawana lolote ingawa wako kwenye ajira nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…