Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Yeah šFeb 27 a date of today!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah šFeb 27 a date of today!!
Acha dawa iwaingie labda wataelewa sio kuleta visababu vya kijinga na akati toka zamani misuguano kwenye ndoa ipo tuuu lakini watu hawakuacha kuoanaKibao kimegeuka kwa kasi sana tangu last week...
Hii vita ni KUBWA Sana Vijana Wangu, Mimi najua Tu kuwa ukikataa kuoa utaolewa!Wengi wao
Vibamia
Mashoga
Hawawezi kitu
Wakuu ndoa tamu Sana Sana natamani kuongeza Mke, seriously maana Naona utamu umezidi. Nahitaji Sana Watoto pia.Kwa kifupi nilioa Hadi Sasa ndoa Ina furaha mnoo japo changamoto zipo tu kubwa na ndogo ni sehemu ya ubinadamu wetu tu.
Dah! Huu ni msumari mwingine huu.Hii vita ni KUBWA Sana Vijana Wangu, Mimi najua Tu kuwa ukikataa kuoa utaolewa!
Wewe ni Yebo tu mla kokoloJf habari!!!
Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Hilo ndilo kusudio kuu la Mungu.
Yeyote yule anapinga ujue wazi yupo upande wa pili
Wala sio kwamba nabahatisha.![]()
Kwa akiri ya kawaida tu kama Babu zetu/wazee wetu wangekuwa na akiri kama ya vijana wa Leo (KATAA NDOA) Je tungelikuwepo chini ya sayari hii?
Imagine kijana wanapeana ushauri kuwa kama unataka Watoto mzalishe then chukua mtoto wako! Ili Hali yeye kalelea Kwa mapenzi ya baba yake na mama yake Hadi kajitambua!
Huyu huyu anakuja kuwaponda Tena ma single mother.
Cha kusitikisha zaidi ukija kuangalia sababu zao hazina mashiko Wala umhimu wowote wengi wameegemea kwenye Mali.
Wanasema mwanamke yupo kimaslahi zaidi. Swali je! Mama Yako amepata maslahi Gani Kwa baba Yako Hadi Sasa?
Vijana tutafuteni Hela kukosana kupo tu hata kaka na dada wa tumbo Moja hukosana na pengine kupelekana kuuana.
Iwapo umekosena na mke wako Watoto wapo watafaidika Mali zako.
Pia wengi wenu hamjui msingi na taratibu za kupata mke Bora badala yake hisia na life style za kijinga ndo mnazifuata sambamba na genye zenu za kipuzi.
Tangu mwanzo mke alikuwa hatafutwi kwenye media Wala mitandao ya kijamii.
Mimi nimekua nikakuta kaka zangu walitaftiwa na mzee wake Hadi Leo ndoa zao zipo na wanafuraha.
Mimi binafsi pamoja na kuzurura huku na huko lilipofika swala la kuoa niliwaambia wazazi nahitaji kuoa Sasa wazee wangu
Japo nilikuwa naambiwa tangiapo kuwa Kuna binti maeneo Fulani Kwa familia flani anafaa kuwa mke
Kutokana na ukisasa uchwara niliona upuuzi tu kutaftiwa mke.Baada ya kuwa na mahusiano mengi yasiyo na tija kwangu nikagundua ndio maana wazee wetu walikuwa wanafanya haya.
Nikarudi na kuambiwa nenda sehemu Fulani kafikie Kwa flani (mjomba) mwambie /muulize sifa za familia flani Kisha sema hitaji lako.
Ndicho nilichofanya baada ya sifa za mhi ule kuonekana ni njema binti kamaliza kidato Cha nne (hapo simjui hanijui)
Step iliyofata kumasaka na kujionea Kwa macho. Hapo nilkuwa nimeambiwa kuwa hapa ni mke wa familia sio wa maonyesho (mzuri wa sura) tumeangalia sifa kwanza ukipenda oa usipopenda acha!
........Mara naonana na binti kwanza nikampenda pia japo sio mzuri sana kulingana na matazamio yangu na matamanio niliyokuwa nayawaza hapo Awali kuwa mke nitakaye oa lazima awe na makalio makubwa nk
Kwa kifupi nilioa Hadi Sasa ndoa Ina furaha mnoo japo changamoto zipo tu kubwa na ndogo ni sehemu ya ubinadamu wetu tu.
Mwisho:-Mzazi ukiona mtoto wako wakiume hataki ndoa na ulimwegu huu wa Sasa jaribu kufanya research wavunwa kipapai ni wengi sana Hadi Watoto wawachungaji!
View attachment 2918115
Wanaume kukataa ndoa ndiyo unaandika maneno machafu kiasi hiki?Wengi wao
Vibamia
Mashoga
Hawawezi kitu
Kwa sababu tunavitendea kazi na sharti vitumike tuWatu wanapenda sana kuto mbana humu
Kama ngono inapatikana kirahisi, watu waoe kufanya nini?Uko sawa mkuu
Hapa duniani sio peponi lazima changamoto ziwepo tu lakini kuoana ni lazima Kwa ajiri ya kuendeleza kizazi.Acha dawa iwaingie labda wataelewa sio kuleta visababu vya kijinga na akati toka zamani misuguano kwenye ndoa ipo tuuu lakini watu hawakuacha kuoana
Watajitetea tu ilimradi waonekane wapo lkn hawana point za maana ni kutokujilewa na ujinga kupindukia.Naunga mkono hoja, umetema point tupu.
Ngoja tuwasikilize na wao sijui watalikwepaje hili
Sahihi kabisa utaliwa tu Hilo halipingwiHii vita ni KUBWA Sana Vijana Wangu, Mimi najua Tu kuwa ukikataa kuoa utaolewa!
Kwa hiyo ule mstari wa zaeni mkaongezeke hauna maana siyo.Au kwa nini Mungu alitofautisha jinsia?mtazamo wengi ni mfupi sana, tena wa kijinga ,tena ufala mno, sijajua ulazima wa kuoa mnautoa wapi
Matowashi ni watu waliojitoa wakfu kwa Mungu, wasiojihusisha na mambo ya wanawake,(yaani kuwa na mke au watoto), mfano wa matowashi katika biblia ni Bwana wetu Yesu, Mtume Paulo,Barnaba, Yohana mbatizaji na Eliya Mtishbi.
Sasa wapo wa aina tatu, wapo ambao tangu kuzaliwa tumboni mwa mama zao Mungu aliwaumba hivyo, hawana uwezo wa kuzalisha, wengi miongoni mwa hao Mungu amewachagua wawe wakfu kwakeā¦kwa ajili ya utumishi wake.
Kadhalika wapo wengine wamehasiwa, hao ndio waliofanywa na watu kuwa hivyo kwa ajili ya ufalme wa mbinguniā¦
Na pia wapo ambao wameamua kujifanya wenyewe kuwa matowashi..hawa hawajahasiwa wala hawana shida yoyote isipokuwa wao wenyewe wameamua kubaki hivyo hivyo wasioe kwa ajili ya ufalme wa mbinguni yaani wajishughulishe na mambo ya ufalme wa mbinguni kwa uhuru zaidi..mfano wa hao ni Bwana wetu Yesu, Mtume Paulo, Barnaba, Yohana mbatizaji, Eliya mtishbi n.k..
Na kama Bwana Yesu alivyosema mtu yoyote awezaye kulipokea neno hilo na alipokee alikuwa anamaanisha kwamba āmtu akitaka kuwa hivyo na aweā ila sio lazima kama kama Mtume Paulo pia alivyosema kwa uweza wa Roho katika 1 Wakorintho 7:26-40.
Na pia kumbuka hiyo ni KARAMA watu wa namna hiyo huwa wanaona mke/mume kwao si kitu cha thamani kubwa sana kama kuwa tu karibu na Mungu. Hawajilazimishi wala kutumia nguvu nyingi kufanya hivyo, tofuati na wengi wanavyodhani. Mwanamke aliyejitoa kwa Mungu, kaamua kutojishughulisha na mambo ya mume, huyo naye anatafsirika kama towashi.