Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Wewe ni Yebo tu mla kokolo
 
 
Acha dawa iwaingie labda wataelewa sio kuleta visababu vya kijinga na akati toka zamani misuguano kwenye ndoa ipo tuuu lakini watu hawakuacha kuoana
Hapa duniani sio peponi lazima changamoto ziwepo tu lakini kuoana ni lazima Kwa ajiri ya kuendeleza kizazi.
 
Kinachokufanya kuoa ni kuijaza dunia na kupata starehe ya ngono, hii kwa mujibu wa wewe.

Siku hizi ngono inauzwa na kuzaa sio issue, wapo kibao mitaani wameoa na bado wanawatoto nje ya ndoa, tafsiri yake ni kwamba wazee wa kataa ndoa wanapiga mboo, wanazalisha lakini hawahitaji kuishi mke na mume.
 
Kwa hiyo ule mstari wa zaeni mkaongezeke hauna maana siyo.Au kwa nini Mungu alitofautisha jinsia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…