Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Tatizo lako unadhani kila mtu anaamini hicho kitabu ulichonukuu.

Huu ndiyo ujinga mkubwa, kushindwa kujua kuwa kuna mabilioni ya watu hawaamini maandishi ya hicho kitabu.

Na kwa hoja hiyo, mada yako inakosa mantiki hata ya kujadiliwa.
 
Kwanza mkuu ukae ukijua wazee wetu hicho kitabu Wala hawakuwahi kukuona Wala kukisikia hata kusomewa lakini pamoja kutokutokukiona walioa na kuzaa manake Hilo jambo ni asili ya mwanadamu .nimetoa nukuu tu hata kama kungekuwa kitabu cha hadithi au chochote ninge kinukuu kuwa hili jambo ni asili sio geni.

Sasa ndg mwerevu naomba nukuu yeyte hata iwe kwenye kitabu Cha wavuta bangi,mashoga na mafeminist kinachosema KATAA NDOA. Karibu sana ndg mwerevu Mimi mjinga mkubwa nakusubiria unipe maarifa.
 
Point Yako ni ipi hapo?
 
Nukuu sio ya muhimu..
 
Wengi wao ni kama mwiko unaweza pikia upande huu au huu😂😂😂
 
Tusilazimishane wanawake wa sikuhizi tangu wagundue kuna swala la kugawana mali wamefanya ndoa kua kitega uchumi chao, unamuoa anakuvizia miezi sita au mwaka anaanza drama apate mgao #KATAANDOA #NDOAZASASANIHARAMU, #KATAAAAAAAAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…