Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Ndoa ni utapeli na wengi wenu humu mmetapeliwa na makasiriko yenu mnayaleta kwa team kataa ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni ninyi kuwaweka wanawake wote kwenye fungu Moja ni sawa na kusema wanaume wa dar hawana nguvu za kiume nk
Ukweli ni kwamba process ya kuchagua mwenza wa maisha sio jambo rahisi kama mnavyofikiria unaweza ukawa nao Saba lkn mwisho wa siku hao wote ukiamua Sasa uoe ukapiga chini wote maana utaona hakuna anayekustahili kujenga nae familia!
Wengi wa vijana mnaendekeza ukisasa na physical appearance ya demu bila kuchunuza Kwa undani.

Matokeo yake unajibebea lolote kisa ni mzuri sana mrembo pia kasoma na WA mjini au mtoto wa boss fln hpo tegemea maumivu 98% !!!

Mwanamke anajua Kila kitu kuhusu mitandao ya kijamii wasap ana magroup ya wanawake feminist kibao utegemee furaha kwenye ndoa Yako?
 
Ng'ombe, Nguruwe na Mbwa watabaki kuwa wanyama na mimi nitabaki kuwa mwanadamu.

Uanadamu sio ndoa

Ingekuwa ubinadamu ni ndoa watoto wnagekuwa wanazaliwa wakiwa wameoa.
Umewaza kuwa bila wazazi wako kuoana huenda isingekuwepo au ungekuwa mtoto wa mtaani pengine ungelizaliwa na kutupwa chooni?
 
Kuzalisha ovyo ndio kuzalisha vp ? Kwani wewe ulie zaa na mwanamke mmoja na mimi nilizaa na wanawake watatu tofauti kuna tofauti gani unayohisi wewe umeyapatia maisha zaid?
Tofauti ipo kubwa tu hasa kimalezi kama hujaoa huwezi elewa!
 
Chukulia mfano Toka mwanzo wasingeoana au wangekuwa mashoga na na tom boy vipi ungelizaliwa?

Kama ndoa ni jambo lazima MTU ataoa au kuolewa Ila mnapokwama nikutaka kila MTU aoe aliyakuwa sio lazima.

Hapa duniani kila MTU anamtazamo wake , mfano Mimi ntaoa na 35 yrs na sasa nina 26 yrs

Nina Ajira
Kibanda
Na ninaishi na ndugu zangu namsomesha nakidogo nashare na wazazi na siuoni huo umuhimu Wa kuoa kwangu .

So kila MTU ambaye hataki kuoa Hana PESA au ni shoga huo ni utoto na mawazo dunk

Kwanza kuoa ndo na ukioa kitu gani kitabadilika ?
 
Issue ni ninyi kuwaweka wanawake wote kwenye fungu Moja ni sawa na kusema wanaume wa dar hawana nguvu za kiume nk
Ukweli ni kwamba process ya kuchagua mwenza wa maisha sio jambo rahisi kama mnavyofikiria unaweza ukawa nao Saba lkn mwisho wa siku hao wote ukiamua Sasa uoe ukapiga chini wote maana utaona hakuna anayekustahili kujenga nae familia!
Wengi wa vijana mnaendekeza ukisasa na physical appearance ya demu bila kuchunuza Kwa undani.

Matokeo yake unajibebea lolote kisa ni mzuri sana mrembo pia kasoma na WA mjini au mtoto wa boss fln hpo tegemea maumivu 98% !!!

Mwanamke anajua Kila kitu kuhusu mitandao ya kijamii wasap ana magroup ya wanawake feminist kibao utegemee furaha kwenye ndoa Yako?

vijana wamesusa kufanya homework. mambo ya kujua kwa nini kunguru ni ndege kama ndege wengine lakini hafugwi, hili hawataki kujibidiisha kulijua.
 
Ni wapi iliandikwa kwamba usipooa hutopata mtoto.

Kinachopingwa kwenye ndoa ni vitendo vinavyofanywa kwenye ndoa za sasa.

Unafikiri ndoa za mababu zetu zilikuwa kama ndoa hizi za sasa.

Ndoa zimejaa usaliti wa kila namna, maradhi ni nje nje tena anayekupa ni mtu uliyemuamini.

KATAA NDOA ZA KISASA.

NDOA ZA KISASA NI UTAPELI.

NB:KAMA IMANI YAKO NI KWAMBA TUNAOZIKATAA NDOA NI

  • Vibamia
  • Hatuna nguvu za kiume
  • Shoga
Nikabidhi mkeo masaa mawili
Atakupa Habari................
Kwenye ukisasa hapo ndo mnaharibu na kuziona ndoa hazina maana Kwa Sasa sababu kuu kuendekeza ukisasa
Wengine tuna wanawake hata facebook haijui Nini Wala Instagram nk siyo kwamba ni mjinga au hajasoma kachugua maisha yake

Nisawa na boss flan wa timu fln Hana page yoyote kwenye mitandao ya kijamii kama sijakosea. Naye kachagua maisha hayo Wala sio kwamba Hana Hela au elimu lahasha!
 
Kama ndoa ni jambo lazima MTU ataoa au kuolewa Ila mnapokwama nikutaka kila MTU aoe aliyakuwa sio lazima.

Hapa duniani kila MTU anamtazamo wake , mfano Mimi ntaoa na 35 yrs na sasa nina 26 yrs

Nina Ajira
Kibanda
Na ninaishi na ndugu zangu namsomesha nakidogo nashare na wazazi na siuoni huo umuhimu Wa kuoa kwangu .

So kila MTU ambaye hataki kuoa Hana PESA au ni shoga huo ni utoto na mawazo dunk

Kwanza kuoa ndo na ukioa kitu gani kitabadilika ?

Kwenye jamii zingine, watu wanaanza kufikia ndoa wakifikisha miaka 40.

Mstari wa mwisho kwenye andiko lako ni mstari wa kibabe hasa. Ukiweza tafiti kidogo uone utapata majibu gani. Nafikiri itakufaa mno
 
Tofauti ipo kubwa tu hasa kimalezi kama hujaoa huwezi elewa!
Kwamba malezi yanakua na tofauti gani ? Mbona tunaona vibaka wa mali za uma na panya Road kibao wametokea familia za baba na mama ?

Na unauhakika gani watoto wako mda wote wataishi na wewe na mke wako kwa pamoja mpaka watoke mikononi mwenu?
 
Huwa nawashangaa sana , wapo kama wana msongo wa mawazo , ukiwasikia huwa mpaka wanatukana kwa hasira kabisa , huwa hawana hoja zaidi ya matusi na kuita watu mashoga , alafu unakuta mtu kaoa ila yupo nyumba ya kupanga chumba kimoja na kijiko cha gesi kanajifanya kanajua kuhudumia mke ,mchicha wa 500 na vijisamaki uchwara, utawasikia wanaokataa ndoa wanakwepa majukumu ,ukiwauliza wana majukumu gani amabayo wanahisi mimi siyaweza wanaingia mitini[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kama uwezo wangu ni mchicha wa jero iweje unilazimishe ninunue nyama Ili Hali uwezo huo Sina? Elewa hapa hatuzungumzii umasikini au kipato Cha mtu hapana tunazungumzia watu kataa ndoa.

Kuna jamaa Sasa miaka30 kapanga jirani Hana mke Hana mtoto lkn maisha yake una mhurumia Kodi tu kulipia ni mtihani hata wageni labda waje tofaut na wahuni wenzake ni hapana mala nyingi ana vizia msosi Kwa majirani.

Swala la uchumi ni la mtu binafsi haijarishi upo Kwa ndoa au upo single ugumu wa maisha upo palepale
 
Ndoa zinazopigwa ni hizi za kitapeli hasa kwa wanaume wapambanaji ,ndoa za cheti na kutiana saini ,then badae inatumika kukumaliza.
 
Enyi watu mlioko kwenye ndoa,ishini kulingana na viapo vyenu,msivikiuke waziwazi na kufanya ambao hawajaingia kwenye ndoa,wakakata tamaa.
Una poo a ah kuolewa halafu bado unasaliti ndoa,unadhani unaleta picha gani kwa ambaye hajaoa au kuolewa?
Una pooa au kuolewa halafu unakula njama ya kumuondoa mwenza wako ili umiliki mali mwenyewe,inaleta picha gani kwa wale ambao hawako ndoani?
Unapoolewa na unaifanya ndoa yako inakua na watoto mseto,unadhani wanaojua siri hiyo wanaichukuliaje ndoa?
Tuishi kimaadili ili wale ambao hawamo kwenye ndoa,wahamasike kuingia.
 
Back
Top Bottom