Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Kuna vitu vinachekesha sana yaan wanaume waliooa wanawalaumu ambao hawajaoa[emoji1787]wanaotakiwa kuolewa wamekaa kimya.
Huwa nawashangaa sana , wapo kama wana msongo wa mawazo , ukiwasikia huwa mpaka wanatukana kwa hasira kabisa , huwa hawana hoja zaidi ya matusi na kuita watu mashoga , alafu unakuta mtu kaoa ila yupo nyumba ya kupanga chumba kimoja na kijiko cha gesi kanajifanya kanajua kuhudumia mke ,mchicha wa 500 na vijisamaki uchwara, utawasikia wanaokataa ndoa wanakwepa majukumu ,ukiwauliza wana majukumu gani ambayo wanahisi mimi siyaweza wanaingia mitini[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ni wapi iliandikwa kwamba usipooa hutopata mtoto.

Kinachopingwa kwenye ndoa ni vitendo vinavyofanywa kwenye ndoa za sasa.

Unafikiri ndoa za mababu zetu zilikuwa kama ndoa hizi za sasa.

Ndoa zimejaa usaliti wa kila namna, maradhi ni nje nje tena anayekupa ni mtu uliyemuamini.

KATAA NDOA ZA KISASA.

NDOA ZA KISASA NI UTAPELI.

NB:KAMA IMANI YAKO NI KWAMBA TUNAOZIKATAA NDOA NI

  • Vibamia
  • Hatuna nguvu za kiume
  • Shoga
Nikabidhi mkeo masaa mawili
Atakupa Habari................
 
Huwa nawashangaa sana , wapo kama wana msongo wa mawazo , ukiwasikia huwa mpaka wanatukana kwa hasira kabisa , huwa hawana hoja zaidi ya matusi na kuita watu mashoga , alafu unakuta mtu kaoa ila yupo nyumba ya kupanga chumba kimoja na kijiko cha gesi kanajifanya kanajua kuhudumia mke ,mchicha wa 500 na vijisamaki uchwara, utawasikia wanaokataa ndoa wanakwepa majukumu ,ukiwauliza wana majukumu gani amabayo wanahisi mimi siyaweza wanaingia mitini[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Haya majamaa huwa nayaona hayana hoja za msingi.
 
Ni wapi iliandikwa kwamba usipooa hutopata mtoto.

Kinachopingwa kwenye ndoa ni vitendo vinavyofanywa kwenye ndoa za sasa.

Unafikiri ndoa za mababu zetu zilikuwa kama ndoa hizi za sasa.

Ndoa zimejaa usaliti wa kila namna, maradhi ni nje nje tena anayekupa ni mtu uliyemuamini.

KATAA NDOA ZA KISASA.

NDOA ZA KISASA NI UTAPELI.

NB:KAMA IMANI YAKO NI KWAMBA TUNAOZIKATAA NDOA NI

  • Vibamia
  • Hatuna nguvu za kiume
  • Shoga
Nikabidhi mkeo masaa mawili
Atakupa Habari................
Kwa hiyo utafautiana vipi na ng'ombe,nguruwe na mbwa kama wewe unazalisha hovyo tu.Halafu hakuna cha ndoa za zamani/kisasa, usaliti,nginjanginja za ndani zilikuwepo tangiapo
 
Kwa hiyo utafautiana vipi na ng'ombe,nguruwe na mbwa kama wewe unazalisha hovyo tu.Halafu hakuna cha ndoa za zamani/kisasa, usaliti,nginjanginja za ndani zilikuwepo tangiapo
Ng'ombe, Nguruwe na Mbwa watabaki kuwa wanyama na mimi nitabaki kuwa mwanadamu.

Uanadamu sio ndoa

Ingekuwa ubinadamu ni ndoa watoto wnagekuwa wanazaliwa wakiwa wameoa.
 
Huwa nawashangaa sana , wapo kama wana msongo wa mawazo , ukiwasikia huwa mpaka wanatukana kwa hasira kabisa , huwa hawana hoja zaidi ya matusi na kuita watu mashoga , alafu unakuta mtu kaoa ila yupo nyumba ya kupanga chumba kimoja na kijiko cha gesi kanajifanya kanajua kuhudumia mke ,mchicha wa 500 na vijisamaki uchwara, utawasikia wanaokataa ndoa wanakwepa majukumu ,ukiwauliza wana majukumu gani amabayo wanahisi mimi siyaweza wanaingia mitini[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hayana akili wanaona kuteseka ndo sifa sijui....hv mm nimesema Sina mpango wa kuoa kidume mwenzangu unateseka nn unapungukiwa nn? Nini ananizidi alie kwenye ndoa? kuhemeana na mtoto wa watu kila siku?

Wapuuzi kwel
 
Back
Top Bottom