Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unasemaje kuhusu ndoa smart?? 🤠🤠🤠😊
Nipo tayari kukuoa sweetheart...Wee unasemaje kuhusu ndoa smart?? 🤠🤠🤠😊
Yes I do love.Nipo tayari kukuoa sweetheart...
Mashoga mnawasingizia, wala hawajawahi zungumzia masuala ya ndoa, wao wako buzzy na life lao.Wengi wao
Vibamia
Mashoga
Hawawezi kitu
Kwan hao mashoga hawafanyi mapenzi? Kwa point yako hapa, mashoga hawafanyi mapenzi.Wana pointi sana ,SEMA kama hujaoa itabidi uwe Malaya wa kuruka ruka na Kila demu ,manake ugumu nao ni shida ,vinginevyo upige nyeto jambo ambalo pia ni taaabu.mimi Huwa nahisi Hawa ni mashoga
Kumbe UPOMashoga mnawasingizia, wala hawajawahi zungumzia masuala ya ndoa, wao wako buzzy na life lao.
NipooKumbe UPO
Huenda mi ndo nimepotea baada ya JF kufanya upumbavuNipoo
Itakuaaa.Huenda mi ndo nimepotea baada ya JF kufanya upumbavu
Mkuu Mihemuko ya kidini isikufanye ukakufuru!Yesu alikuwa shoga.
Sasa wakristo muache kuwasakama mashoga maana kiongozi wenu alikuwa shoga
Umetiririka vyema sana mkuuVijana Tunataka Wadada Wazuri, Tunasema Pisi Kali. Kingine vijana Hatupendi Majukumu na kinachotuponza ni moyo Kwamba Binti Huyu nampenda sana. Mzee baba ukipata Binti ana kuheshimu na kukusikiliza Muoe . Achana na makalio na Rangi ya mtume utakuwa chizi. Pia vijana acheni kununua Malaya . Hao wanatufanya tuchelewe Kuoa maana Kwa Sasa Penzi unaweza kupata hata Kwa buku mbili. Tuoe vijana tujenge familia Changamoto kwenye ndio zipo.
inasikitisha sanaMkuu Mihemuko ya kidini isikufanye ukakufuru!
Naamini utakuja Kujuta hiki ulichoandika
yote ya kweli mkuu uliyosema hapa.
- Ni matokeo ya vijana kuondoka mikononi mwa mazazi ukiwa bado hawajaiva vizuri, huwezi kukuta kijana aliyelelewa na kupewa maadili na usimamizi nzuri anatete upuuzi.
- Vijana wa 2000 ndio shida zaidi, wengi wao wamezaliwa nje ya ndoa, wazazi wamevurugana au ni matokeo ya nyege wala si mipango ya jamii.
- Ukosefu wa kipato, na uchoyo kupelekea kuona akioa ni kama anahudumia binti wa watu.
- Kutawala kwa Elimu ya Magharibi isiyotoa misingi ya jamii. Elimu ya Magharibi inamchukulia mtu kama mashine ya kuzalishia mali.
- Ushoga na usagaji.
- Kipato duni ambacho hakimtoshi hata kijana mwenyewe.
- Kukosa elimu ya dini na hofu ya Mungu ambapo uzinzi hupewa kipaumbele dhidi ya kujiheshimu.
- Kuacha mila na tamaduni. Huu ujinga huwezi sikia kwa vijana wa kihindi, ila umetawala kwa wapuuzi wa kiafrika na ulaya.

Ili iweje?KATAA NDOA
🙄🙄KATAA NDOA
WANANGU MSIYUMBISHWE, PUUZENI HAYA MANENO.
MSIMAMO NI ULE ULE KATAA NDOA, NDOA NI JANJA JANJA
naomba likes za kataa ndoa nijue tuko pamoja. [emoji41]