Wa kuristo wengi wana zinii kwao zina sio issue hata kanisani wanahimiza kukaa na mchumba mpaka pale utakapo ona ni mda muafaka kufunga ndoa.bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama mahari kuwa kubwa, kuogopa mali kupigwa pasu kwa pasu mahakamani, sheria ngumu za kuoa upya, n.k.
mtu anasubiri mpaka 36 huko ndio anaoa, uzinzi unaepukika hapa ?
Christian most of them are not really God fearing they are pretenders in their lifebila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama mahari kuwa kubwa, kuogopa mali kupigwa pasu kwa pasu mahakamani, sheria ngumu za kuoa upya, n.k.
mtu anasubiri mpaka 36 huko ndio anaoa, uzinzi unaepukika hapa ?
Christian most of them are not really God fearing they are pretenders in their life
Are you sure and don't claim anything you hearingPole kumbe ndo waliwazalisha ovyo dada zako bila kuwaoa
Ukikaa vibaya na wewe unazalishwa tu 😀😀😀bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama
- mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali
- kwenye ndoa za ikristo ni lazima mali zipigwe pasu kwa pasu mkiachana kwa sheria za mahakamani
- mwanamke anaweza kuwa kiburi anajua huwezi kuongeza mke na ukimzingua anakomba mali pasu kwa pasu
- ni ngumu kuoa upya
mtu anasubiri mpaka 36 huko ndio anaoa, uzinzi unaepukika hapa ?
Jiwe limempata huyu mamaaaaa alisikika huku akiugulia maumivu makaliMna udini wa kijinga sana.
Tugegeduane tuu. Ndoa zilishakuwa ngumu.bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama
- mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali
- kwenye ndoa za ikristo ni lazima mali zipigwe pasu kwa pasu mkiachana kwa sheria za mahakamani
- mwanamke anaweza kuwa kiburi anajua huwezi kuongeza mke na ukimzingua anakomba mali pasu kwa pasu
- ni ngumu kuoa upya
matookeo yake, vijana wngi kwa sasa wamekuwa wanasubiri mpaka 36 huko ndio wanaoa, uzinzi unaepukika hapa ?
Afya ya Akili ni muhimu hii watu hawajui Mimi dada zangu wote wamezalia nyumbani na hawana kipato wanategemea sisi wajomba zao so usichukulie powah swala la Afya ya Akili .
Are you sure and don't claim anything you hearing
Hatari! Sii mchezo🤣🤣🤣🤣Wa kuristo wengi wana zinii kwao zina sio issue hata kanisani wanahimiza kukaa na mchumba mpaka pale utakapo ona ni mda muafaka kufunga ndoa.
Jiwe limempata huyu mamaaaaa alisikika huku akiugulia maumivu makali
Wewe there's something went wrong on ur mind u can't be serious anymore .
Zinazo gusa wengine sio shida ila uzi unao ongelea ukweli ufutwe huo ni unafiki.Moderators hebu njooni mfute hizi thread zenye milengo ya dini. Nyingi zina lengo la kuharibu umoja, upendo na mshikamano wetu kama Taifa.
Ni vizuri tubishane kwenye siasa, michezo nk lakini sio dini.
Sure mods wazifutilie mbali na kuwapa onyo kali hao watu waleta hizi nyuzi.Moderators hebu njooni mfute hizi thread zenye milengo ya dini. Nyingi zina lengo la kuharibu umoja, upendo na mshikamano wetu kama Taifa.
Ni vizuri tubishane kwenye siasa, michezo nk lakini sio dini.
Hivi mkuu umesoma vizuri nilichoandika kweli? Unaelewa tofauti ya "hi" na "hizi"?Zinazo gusa wengine sio shida ila uzi unao ongelea ukweli ufutwe huo ni unafiki.
Zamani ilikuwa ukianzisha tu uzi lazima upitiwe kwanza afu wakijiridhisha ndo wanaruhusu uwepo hapa usomwe.Sure mods wazifutilie mbali na kuwapa onyo kali hao watu waleta hizi nyuzi.
Ni kama zile za mashoga na mashoga wanavyopigwa ban iwe na huku pia maana hamna kinachojadiliwa zaidi ya matusi na kebehi tu.
Mkuu ukiristo unapotosha watu wengi acha ufunuliwe watu wajue ukweliZamani ilikuwa ukianzisha tu uzi lazima upitiwe kwanza afu wakijiridhisha ndo wanaruhusu uwepo hapa usomwe.
Ila sasa hivi hawana utaratibu huo na hata watu wanaoandika upuuzi hawapewi adhabu kivile.