Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina juma lokole ni wakristo wa Zanzibar.Mkuu ukiristo unapotosha watu wengi acha ufunuliwe watu wajue ukweli
JF is where we talk openly
Na wakristo nao watasema uislamu unapotosha wengi. Kwahiyo kwa mtazamo wangu, nafikiri ni bora tungejikita katika mambo ambayo yanaweza kujadilika katika jamii yetu bila kuleta madhara makubwa kama haya ya kiimani.Mkuu ukiristo unapotosha watu wengi acha ufunuliwe watu wajue ukweli
JF is where we talk openly
Uongo mtupu ulichoandikabila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama
- mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali
- kwenye ndoa za ikristo ni lazima mali zipigwe pasu kwa pasu mkiachana kwa sheria za mahakamani
- mwanamke anaweza kuwa kiburi anajua huwezi kuongeza mke na ukimzingua anakomba mali pasu kwa pasu
- ni ngumu kuoa upya
matookeo yake, vijana wngi kwa sasa wamekuwa wanasubiri mpaka 36 huko ndio wanaoa, uzinzi unaepukika hapa ?
Mister I agree with youNa wakristo nao watasema uislamu unapotosha wengi. Kwahiyo kwa mtazamo wangu, nafikiri ni bora tungejikita katika mambo ambayo yanaweza kujadilika katika jamii yetu bila kuleta madhara makubwa kama haya ya kiimani
Tuko pamoja mkuu 🙏Mister I agree with you
Wewe there's something went wrong on ur mind u can't be serious anymore .
Duh!...Uongo mtupu ulichoandika
Vijana wengi vijijini waliomaliza vyuo huoa mapema na wa mijini wanaotoka familia bora huoa mapema sana sababu mahari na sherehe hugharimiwa na wazazi na ndugu
Mleta mada utakuwa unatoka familia ya masikini wa kutupwa wa mijini au kama umezaliwa kijijini porini huko badala ya kuoa kwenu maporini huko unataka kuoa mtoto wa kike wa familia bora wa mjini
Kaoe watoto wa kike toka familia za maskini wenzio mahari kuku na mayai tu unapata mke ndani .
Shona nguo inayofanana na size yako
numbisa hata hiyo avatar yako inashawishiPole kumbe ndo waliwazalisha ovyo dada zako bila kuwaoa
Sometimes inaboa aisee, ujinga ni mwingi sana humuZamani ilikuwa ukianzisha tu uzi lazima upitiwe kwanza afu wakijiridhisha ndo wanaruhusu uwepo hapa usomwe.
Ila sasa hivi hawana utaratibu huo na hata watu wanaoandika upuuzi hawapewi adhabu kivile.
Hao Makafr Ni Shida Sana MkuuMna udini wa kijinga sana.
Ujinga ni mwingi afu mods wanauacha uendelee tu.Sometimes inaboa aisee, ujinga ni mwingi sana humu
.
Hebu fikiri tena mkuu ingawa najua una idea nzuri. Hakuna jambo lililopo na linaloletwa na wanaojiita watawala Dunia ambalo linania ya kukuunganisha wewe na wenzio. Hiyo siasa pia ina nia hiyo, michezo nk.Moderators hebu njooni mfute hizi thread zenye milengo ya dini. Nyingi zina lengo la kuharibu umoja, upendo na mshikamano wetu kama Taifa.
Ni vizuri tubishane kwenye siasa, michezo nk lakini sio dini.
Kwa kweli ni hatari sana mkuu.Hebu fikiri tena mkuu ingawa najua una idea nzuri. Hakuna jambo lililopo na linaloletwa na wanaojiita watawala Dunia ambalo linania ya kukuunganisha wewe na wenzio. Hiyo siasa pia ina nia hiyo, michezo nk.
Usipokuwa tofaut na mwenzio kimpira utakuwa tofauti kichama. So no way mwaweza kuwa na umoja kamili na mshikamano imara. No way..
Na kwa system ya maisha hamna jingine utaongea lenye kuongeleka na kujadilika kama sio hayo mambo. Ambayo nia ya ndani ni kuleta mpasuko ili tutawalike. Haijalish ww ni waziri au Rais wote tunahitaji kutawalika.
Ova.
Muda si mrefu hiki kiingereza kitakuumbuaWewe there's something went wrong on ur mind u can't be serious anymore .